@chadema04: MAANDAMANO YA CHADEMA MWANZA LEO #serengetimediacentre #trending #CHADEMA #mwanza

chadema mkoa dar es salaam
chadema mkoa dar es salaam
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 21 September 2025 22:39:04 GMT
556453
19876
464
831

Music

Download

Comments

danykivuyo
Dany☀︎ :
bendera ziwe za taifa please 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Maandamano sio ya chadema
2025-09-23 05:08:10
367
julius.mollel06
JULIUS MOLLEL TV :
ata na ss wa arusha tutaandamana tarehe 29
2025-09-22 16:07:41
157
bertoldluambano
Bertold :
KWELI BENDELA ZIWE ZA TAIFA JAMANI........💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2025-09-23 07:27:50
122
user21420222048883
001 :
kumeshaanza kuchangamka
2025-09-22 16:30:48
19
missann807
miss ann :
Bendela ziwe za taifa sio za chama bn
2025-09-24 12:51:32
10
mchuzi25accessories
susu mchuzi ❣️ :
oyoooooooo tutapata uhur wallah tukishikamana tutapata haki ya kuchagua tunae mtaka ntapata nafas ya kumchagua gwajima boy🤣
2025-09-23 03:07:04
17
brainmakerd
brainmakerd :
Hivi ndo tunataka sasa😁😁😁
2025-09-23 06:21:09
19
alimgambo21
alimgambo :
sijapata kumuona dunia nzima rais kuwa mlemavu sasa watanzalnia kwazi mtu yeyote anapokuwa mlemavu anakuwa mental
2025-09-23 08:24:02
6
maintanace
innocent massawe :
Kuna tangazo wanajeshi wanasema wanakazi ya usafi nchi nzima siku3 katika hiyo tarehe yetu, usafi tunafanya wote na mtulinde maandamano yetu ivo2
2025-09-22 15:45:46
15
s.amani83
AMANI--Tall--😎 :
wanao sema ni kinyonge gonga like
2025-10-29 06:11:27
11
kinahjoseph
kinah❤ :
ukipita barabarani mpaka unashangaaa kweupeee hawapo kwenye maandamano na kutik piah hawapo kila mtu yupo kwake😂😂😂🙌
2025-10-29 06:16:05
17
lion6547
Lion 🦁 :
tunaomba bendera ya TZ
2025-09-25 08:02:55
5
user5719325231951
masalu lwino :
29 tunatimiza ukombozi kutoka kwa mkoroni ccm mtandao
2025-09-22 16:48:17
9
user5281273178845
user5281273178845 :
Mbona amani tu inatawala.
2025-09-23 07:28:59
6
mqboy47
M"Q B"O"Y47🇹🇿 :
FIDI FORCE WAKO WAPI AU BADO WANAJAZA MAFUTA GARI
2025-09-24 10:40:27
13
baby.girly85
baby girly💞💞 :
sasa na Arusha nanyie mtandaman
2025-09-23 05:20:54
7
sarah_muddy
Sarah ♓️ 🇹🇿 :
kumeanza kuchangamka😅😅😅
2025-09-22 18:03:12
6
manfogo1997gmail.com.tz3
anoldmkumbo :
mwanza mmeanza kunifurahisha
2025-09-22 18:01:49
7
benjamin.kazungu
Benjamin kazungu :
hii lini jamani watu wa mwanza
2025-09-22 15:28:20
10
mcheshiwadar
@master plan😎 :
haya ni mandamano ya kitaifa sio maandamano ya vyama 😡mamae zenu 😹😹😹
2025-10-29 06:49:19
7
vdrady88
vrady88 :
arusha hawawezi kuandamana kisa wanaletewa anod, chuga bhana😂😂😂😂
2025-09-23 06:38:31
6
martina.vedasto
Martina vedasto :
Mimi nimechoka namambo haya,Mbona watu hawanashukurani kwani Serikal imefanyanini baya????
2025-09-25 04:26:43
7
dj_beturo_mc
DJ BETURO :
29/11/ tutaandamana sio oct
2025-10-29 05:53:30
7
updated.gangster
UPDATED.gangster 🍁♥️ :
Toen location sas
2025-10-29 05:24:09
15
user8883804332917
user8883804332917 :
yaleo au zilizopita
2025-10-29 05:00:06
6
To see more videos from user @chadema04, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About