WATU hawaachani sababu ya ku cheat😭Watu huachana mapenzi yakiisha😥😥
2025-09-23 03:12:52
205
Fantana🇹🇿 :
wapo narudia tena wapo...mapenz hayana formula acheni kukalili vitu mapenz ni hisia na sio maigizo....nataman kutoa historia yangu ila naogopa mwenzangu atajiskia vbaya ila mapenz ya kweli yapo jaman .
2025-09-22 14:52:52
91
October 17 🏃🌟💯 :
daaaaah! 🤐
2025-09-26 07:43:50
0
bonilove901 :
mimi kuna dem wangu nilikuwa nampenda balaa akachiti nikajidai nimesamehe kumbe natafuta mwingine kimyakimya 😂😂
2025-09-23 03:51:00
64
HeisTerri1🎸 :
Me Nitakusamehe Ila Nitakufundisha jinsi ya kucheat bila kukamatwa 🤣🤣
2025-09-22 18:49:02
49
sanga official :
iv unajuwa kwann wanaume mwanamke akicheat huwa hatumsamei ??
2025-09-25 09:03:42
1
@"Jully🌹💋 :
Atakapo mkumbuka atakuwa amechelewa
2025-09-22 13:07:51
58
🎀 :
Mbn mmi nilicheat na akanisamee
2025-09-22 20:34:05
6
glorymakundi2 :
wapo watu wamechit mpka kuzaa na bado walirudiana mpka leo wanazeeka pamoja
2025-09-26 07:21:37
0
asllybin :
Watu awachani kwa sababu ya kuchitiana watu wanaachan upend ukiisha
2025-09-22 14:01:28
12
Mrs kevo :
Yupo bhna labda kama bado anakupendaa atakusamehee
2025-09-22 18:19:23
2
Ms Angel 😇 :
YAANI UNAHUDUMIA HALAFU KUNA MWAMBA ANAKULA KIBOYA, KWANZA NI DHARAU, YAANI MWANAUME ANAFIKIRIA SIJUI UMEMCHUKULIAJE, KWAMBA HAKUFIKISHI, AU YEYE NIO CHOKO KUKUHUDUMIA NDANI HALAFU WENGINE UKAWAPE BURE. AMEKULIPIA MAHARI, ANAKULISHA WW NA FAMILIA YAKO, BADO UNA CHEAT KUWA YEYE HAWEZI KUKUFIKISHA KILELENI AU? MTAKUJA MUULIWE
2025-09-22 22:04:45
14
Hõly ßìtçh :
yeah i cannot very true
2025-09-26 03:06:23
0
Nanah_012#🩷🥀🌸 :
Hakuna jmn hakuna mm nina ushuhuda
2025-09-22 20:14:57
10
El..Mishy♈️ :
Hata sisi hatusamehi😂
2025-09-25 08:15:03
1
Her🦋💗 :
me kubishana sana hua siwez ila wapo.
2025-09-22 18:04:08
13
jedida🥰 Mrs ken👩❤️👨❤️ :
𝕨𝕒𝕟𝕘𝕦 𝕒𝕝𝕚𝕟𝕚𝕤𝕒𝕞𝕖𝕙𝕖𝕒
2025-09-24 12:54:27
4
Munezero Alya :
wapo me wang alinisamehe 😢
2025-09-22 19:36:41
2
mwasham :
Ko yeye ana moyo mimi nina chuma🥺🥺
2025-09-22 20:22:38
1
Festo James :
Mama Mchawi lakini Kaongea Ukweli 💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
2025-09-22 15:25:31
10
braytonnorobeth1 :
Huo niukwel usio pingwa
2025-09-22 14:36:53
9
DR AMIRI BIN HUSSEIN :
mbona manyanya kasamehe😂😂
2025-09-22 17:35:30
1
venacosmetics27 :
Saivi wote tucheti kama mapenzi yana kufa yafe ili swala la wanaume kujifanya ndivyo walivyo sijui hawatosheki mwanaume lazima acheti na sasa hivi wanake hatutosheki na sisi wanaume mnawendekaza sana eti hawatosheki🤣🤣🤣
2025-09-22 22:46:29
2
♥️حسين رمضاني :
je akisamehe inakuajee hapo
2025-09-22 17:48:32
9
PINX OFFICIAL :
wengi wanaosema wapo bado hawajaelewa kuendeleanae mahusiano sio amekusamehe ila ameshakutoa akilin anatafuta mbadala wako amini
2025-09-22 18:12:00
3
To see more videos from user @lovehurts_2725, please go to the Tikwm
homepage.