@rahimdhahabu: Nyerere (Makongoro) Apasua Mbarika Mbele ya Umma, Kwamba Mzee Stephen Masaki Wasira, Kakataa Kung'atuka Uongozini. Na aidha Anaongoza Makundi ya Wahuni Chamani.
RahimDhahabuTv
Region: KE
Monday 22 September 2025 22:16:30 GMT
Music
Download
Comments
Innocent kavenuke :
NYERERE ALIACHA JEMBE HILI!!!
2025-09-23 04:18:06
122
Paul :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila mtoto wa raisi bhana aiyaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-09-23 10:31:38
7
Lukafuba Jr :
Wasira ni kama Matola pale simba YUPO😢 wamepita makocha wengi sana ila matola YUPO daaaah
2025-09-23 13:14:50
65
Shadow :
speech yalini hii mbona picha yake kama yamda
2025-09-23 07:06:39
24
Abu|udA :
hivi Mh Makongoro unafahamu Wasila bado YUPO?! Yapata miaka 50 sasa madarakani... sijui vijana wanafanya nini!!!
2025-09-23 08:03:44
28
D B M ukali :
hii nchi ilipo fikia inaitaji nguvu za vijana imechezewa sana CCM inaudictacte sana
2025-09-24 15:35:33
8
Mbullaj_ :
CHAMA KINA MARADHI SUGU 😏
2025-09-23 06:50:24
11
Brother Jplus🕊️🕊️ :
kupitia huyu mwamba,Mzee wasila angejiuzuru ili kupisha vijana wafanye kazi
2025-09-25 20:31:59
6
Jordany Kimario🇱🇷🇰🇪🇹🇿 :
Tanzania bila wahuni inawezekana kataa wahuni
2025-09-23 12:00:27
5
Winnie :
Aliongea kama utan lakin sasa ndio tunayaamin😂
2025-09-23 06:04:44
6
user927367722180 :
huyu jamaa jeuri Sana Kama sio mjanja huwez muelewa
2025-09-23 06:27:28
9
Frank_Mafuni :
hii video isambazwe
2025-09-23 05:50:17
10
Alichosama Makongoro na anachosema Polepole havina tofauti
2025-09-27 11:52:29
6
FAN%KING :
hawa ndo wana ccm ninayo ijua
2025-09-23 03:50:31
9
Abdallah Mtawa :
manara nakuuliza uyu nae si mtoto wa rais
2025-09-23 03:55:15
10
✒️📏mansory :
damu ya nyerere hadi kicheko
2025-09-23 07:34:06
5
Haji Lubwaza :
Angekua rais asingetoka
2025-09-23 04:57:32
7
O_s_a_k_a_ :
Hii hotuba itakuwa maarufu sana kila kukicha; maana naye Samia amemwita Wasira hadi leo YUPO! 😁😁
2025-09-24 15:22:11
5
pasikali indae,🇹🇿🇹🇿 :
huyu jamaa anafikisha ujumbe kijaja sana hata wasira hawezi elewa
2025-09-23 06:37:09
5
albertmichael570 :
ndiyo maana tunadai katib mpya
2025-09-23 07:08:25
8
kusemwa :
hakikixha ume like video hisambae ❤
2025-09-23 07:22:28
5
TOP FALINGUNDI :
jamaa kasema neno makini kuna siku ipooo
2025-09-23 13:11:25
5
Jay's -home-decoration :
😁😁😁😁 mzee Wasilla yaani Yupoo tu
2025-09-23 06:50:24
14
edes :
mwakajana sumbawanga
2025-09-23 12:41:24
5
BABA. D 💕💕 :
yupoooooooo😂😂😂😂😂
2025-09-23 05:46:32
5
To see more videos from user @rahimdhahabu, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.