mwanamke anaekuita rafiki au kaka anaitaji kukutumia bila wew kumtumia🧐
2025-09-23 10:32:30
30
Papa Bonheur :
aliwe na mwengine , pesa nitoe mimi??
2025-09-23 12:18:15
10
Sumalidi Mavere :
hivi haya mapoiti unapatiaga mkali
nakukubali bro
2025-09-23 11:46:21
10
juniormsegule :
Amen wachache watakuelewa wenye utimamu wa akili,na hofu ya mungu pekeee
2025-09-24 10:16:46
8
colletha98 :
Siwezi acha Kukupa like
2025-09-23 12:36:42
5
Suhair/Safi kwangu :
kaka heshima kwako tuu
2025-09-23 21:13:08
3
shamila 🥰❤️🥰 :
mi nilikuwa na narafik yang namweshim vzur mistroy nin
Kuna sik akanitongoza nikamuongopa. kumbeeeeee alikuwa ananipenda ila alikuw ananichora 2 hat akiw na shind tunasove wote 😂😂🤣