@bbcnewsswahili: Wicknell Chivayo, si jina geni barani Afrika, Hivi karibuni, taarifa iliyodaiwa kutoka bodi ya kupambana na rushwa kutoka Zimbabwe ilisaambaa kupitia ukurasa wa X, ikisema kuwa uchunguzi dhidi yake umefunguliwa juu ya madai ya Rushwa. Lakini Wicknell Chivayo, ni nani hasa? #bbcswahili #tanzaniatiktok #kenyantiktok #fyppppppppppppppppppppppp #foryou
Am here after news of helicopter crash 💔
not good Lossing a soul 😡
2026-09-30 19:21:53
14
Officially tee🥰 :
Mwili wake mzuri jamani na sura yake kama malaika 🥰🥰
2025-09-23 10:55:01
182
sadd'h..01🫵 :
kashindwa kupiga picha na MAGUFULI
2025-09-23 10:56:56
265
vizuri_store⛱️ :
Nauza kanga nzury wapenzi🥰🥰🥰
2025-09-23 11:11:58
62
Justmich07 :
😂😂😂😂 Apo Taasisi ya Rushwa na yenyew imepokea rushwa
2025-09-23 14:40:28
63
Bruda Wakala :
kuna mbuzi inajiita chief godlove
2025-09-23 18:55:07
24
beka 👑 :
October mahandamano tutakuwepo 💪🏾✌🏽🫵🏽
2025-09-23 19:42:19
11
Redemptor Portia :
Picha yake na magufuli iko wap?
2025-09-23 11:17:36
6
charlee :
huyu ni wangu nimemiwahii😂😂
2025-09-24 04:10:39
6
MANTIX_BRUK :
Kasongo hangekosa mahali kama apo😂
2025-09-23 18:39:57
5
Hon.Juma Abdikadir Jattani :
10/10 kujeni nalipa ♥♥
2025-09-23 11:47:16
8
chalii :
magufuli hawezi kupiga picha na wezi
2025-09-23 11:22:42
51
manka :
mwanaume wa hivyo hata awe na pesa hapana mwili kama chai jaba
2025-09-23 11:13:06
11
Priva Novath :
BBC nyie ata deeply story mnakujaga na story inayoeleweka kuliko source nyingine
2025-09-23 10:25:43
33
UncleTrench :
He's the best on Gold exprt from African without a trace even on Incognito🤝
2025-09-23 19:49:01
8
MR.X :
Anapiga Picha na Maraisi Mafisadi..
2025-09-23 10:59:00
16
sulley_official :
mungetuwekea ile aliyomkumbatia mama 😁😁😁
2025-09-23 19:37:01
10
isthisphyna :
Upara wako unateleza babe
2025-09-23 12:46:07
6
Tommy aslan027 :
sio bure ni P DID WA AFRICA 😅😅😅
2025-09-23 17:23:35
7
Officialraines🌷 :
Anapiga picha na mafisadi
2025-09-23 12:07:50
6
@_254 :
i saw this guy in kenyan airport travelling
2025-09-23 11:03:47
6
jonhysteele :
Unakuta taarifa kama hii ya Habari inamhusisha mtu wa Zimbabwe lakin mtu wa serikali ya Bongo anachukia kwanin mna report taarifa zake kama vile bonge ni Mtanzania mwenzake 😂😂😂😂😂😂😂
2025-09-23 11:03:12
7
Renette🤍🤎 :
And all the leaders are from the corrupt countries…..
2025-09-23 11:47:16
7
Safari Maps :
Story haijakamilika 😅
2025-09-23 10:54:38
5
OTERO_Nas100 :
Rip
2026-09-30 19:25:29
4
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.