Billy Miya seems like unakosa Content please tuwache
2025-09-24 08:59:23
17
Amon Maghanga :
huu ni upuzi mnafanya kama hamna issue za maana za kuongea heri uweke mziki
2025-09-24 05:14:40
31
kamau12 :
kweli wanawake wa kitaita ni nuksi
2025-09-24 06:16:45
3
Rodriguez charles :
Some one once told me that marry a Taita lady at Ur own risk ......
2025-09-24 03:36:05
2
mrunde :
kaka basi wabara wanatupenda sana tunaolewa na wabara
2025-09-23 19:04:09
9
God's messenger :
Mtu apigie bibi yangu amwambie nisimpate kwa nyumba,,,, nilioa Taita nikapoteza kazi
2025-09-23 13:30:19
14
THIS IS OUR WORLD :
mie naskia ukiwaoa wanapenda kurudi nyumbani kwao
2025-09-24 03:45:46
1
Sau Salama :
toa mdomo yako Kwa wataita😏😏hupaswi kuongea Ivo Kwa radio.
2025-09-24 06:23:49
7
Don Naftali :
mtaita mmoja akuje tujaribu ala tuachane basi
2025-09-23 18:28:18
0
Badadize_KE :
kweli Akili ni nywele lakini sio ndevu
2025-09-23 17:05:13
10
Essy Wakesho 006 :
sema ulikataliwaa mashimba gha chilu😏😏😏
2025-09-24 07:38:24
6
kate :
mtutafutie lisaa Moja la kuingia TikTok live na hawa wambea tuwasiliane one on one
2025-09-23 14:26:45
5
Maggie 006 :
kibonge mweusi
2025-09-24 20:44:02
3
monela_Chao :
umezidi sasa 😏😏kila time ni wataita ...unalipi na sisi tuache tulivyo...kila mbuyu na shetani wake 😏😏
2025-09-26 13:24:37
2
proud muslim :
hizi misemo hazipaswi kuongelewa kwa radio
2025-09-24 05:16:15
3
DONE :
kutane na wawida abaa!! sema ulikataliwa na mtaita!!
2025-09-23 23:00:31
5
Johntez Mwasi :
This guy has been to much now someone has to stop him our Taita brothers Mkideu and Mwashumbe stop this dude, all the time Taitas you mean you have nothing to talk about except Taitas hebu weka heshima kama ulitak a lady from Taitas akakuturn down tulia wacha mafeelings all the time Taitas Shika adabu yako bro.
2025-09-24 17:22:26
2
Evan's 254 :
kabisa
2025-09-25 21:18:10
1
franq_mwandoro :
billy acha kuharibu show... achana na wataita .. umetoka tz umekuja taita.... nkt
2025-09-23 20:37:39
2
UNCO J. MWANAMZIKI :
Kubabako, Msenge wewe😂😂
2025-09-23 20:02:01
2
😘wawuda😻😜 :
aliacha kuongelea watanzani majini zake zikamtuma taita😏😏😏sura ka babu yangu marehemu nkt
2025-09-24 09:54:03
1
PIKACHU :
So uyu msee mweusi ka mm, Wajaluo karibu wote wanataka kubadilisha hiyo weusi yao n wataita n unasema ivo😂😂,
2025-09-23 17:57:59
2
edwardmwakichwa :
Wewe Billy acha ujinga
2025-09-23 17:19:31
1
Ashil.Dominique :
mumeeanza kuwa Soo tribalism,boring it's not fair kuaribu jibu jina..kwanza mnatoa wapi hii maneno
2025-09-24 07:19:28
2
mhubiri :
ishindwe Pepo labda yametorokea kwako😳😳😳😳😳🫵
2025-09-24 18:54:40
1
To see more videos from user @radio47_kenya, please go to the Tikwm
homepage.