@chrislundatz: Mtag babe wako aje hapa kwa dedication yake, mwambie kiasi gan unampenda, I DO is available on all digital platforms #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniatiktok #rwandatiktok🇷🇼 #usa🇺🇸 #dubai
Chris Lunda
Region: TZ
Tuesday 23 September 2025 16:00:24 GMT
Music
Download
Comments
Mr anything :
anapiga show za bei kuiliko Wcb members
2025-09-24 14:43:20
187
🇹🇿🇯🇵Taxi In Tokyo :
Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 with great talents.
2025-09-23 22:10:47
66
Che.llyqueen :
Kenya watasema ni wa kwao
2025-09-25 10:23:06
80
user7782346947487 :
watu kama hao wakitoa nyimbo zao hawatoboi
2025-09-24 09:01:20
35
Linus Patrick :
alafu mbn kama muhaya uyu😁
2025-09-25 07:05:46
22
Byna🥰 :
Ila mwenetu unajua 🔥big up sana 👏
2025-09-23 16:07:44
59
️🌸 🤍 🦋 :
🥺🥺🥺🥺🤧🤧🤧cutting so very many onions
2025-11-07 07:18:31
3
soften10 :
mdogo sajent hapa
2025-09-23 19:35:41
8
TZ🇹🇿 :
wewe wazungu wameshakuelewa haoo😁😁
2025-09-24 12:40:21
49
TOTOO KENYA🇰🇪CARS :
msijifanye hamjaona huyo mwenye ako nyuma yake
2025-11-07 14:04:23
6
Jofrey Majuja :
nan kaimba huu wimbo..?
2025-09-24 11:14:21
14
Diana Edgar :
Kwenye harus yangu si utaimba bure 😁
2025-11-15 10:52:15
4
Mr.Fundi Banza :
Akinyooka utakuja kutuimbia aise😂
2025-09-24 07:43:00
13
miss Titus :
Amazing🔥🔥🔥🔥
2025-11-07 03:50:13
2
DenisPaul_001 :
Tanzania halafu Tabata
2025-10-02 15:39:18
3
Vincent Binn :
Africa to the world 💪🔥🔥💪
2025-12-07 14:29:42
2
Angel bellerin 🇹🇿 :
shkamoo Kaka 🔥🔥🔥 ...
2025-09-24 09:13:05
2
savinhomansour :
big up bro
2026-03-31 17:41:29
2
@buu"96" :
aisee uyu mwamba anakuibia demu easy kabisa na Zilivyokuw akili za wanawake🤣🤣🤣
2025-09-30 14:06:24
3
deo massawe :
naomba ya RAYVANNY 'marry me' full song🙏🙏🙏
2025-10-01 08:12:06
4
Ricky :
this song attempts somebody to fall in 💕💕🔥🔥🔥😅😅..
2025-11-13 14:10:03
2
J✌️❤️ :
but wait where can we find u ?
2025-10-27 22:09:54
2
RichKid :
mkuu umeshatoboa kwa hatua hii🙌🙌🙌
2025-10-27 21:21:03
2
@cnjon30 :
you're one of kind bro n may God bless the work of your mouth 🙏
2025-11-09 18:43:47
2
Jimmy Rotich Aengwo :
na mkae mkijua huyu jamaa ni wa Kitale... juzi alipiga show kwa Hon Chesang kama support kwa jirani.... vocals 💯
2025-11-11 20:01:33
2
To see more videos from user @chrislundatz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.