Unaenda na mishe zako kumbe huku TikTok una trend 😂😂
2025-09-25 15:18:05
97
Bob Hans new season :
dah 🥰🥰😍😍
2025-10-01 19:15:41
0
broken soul💔💔😭😢 :
🥺🥺🥺Allah awajaalie mapenzi na uvumilivu wa kheri na dhati
2025-09-25 13:06:42
47
سعود 💎راشد 💎سعود :
daah wanawake wa mombasa hawezi kubali hvi .wao wataka wenye ma gari.😁😁
2025-09-25 06:26:16
58
ruwaidasself :
alau nipate kma huyo muhimu niwe na furaha🥺🥺🥺
2025-09-25 04:40:21
79
Maabaly Da Silva :
Mi aliniambia ni some msahafu mpaka nikamaliza lakini akaolewa na muuza shisha dar...😭🥺🙌🏾
2025-09-28 08:04:06
1
Mozriyn Cikla :
kitu pekee nlichoona ni upendo wa kwel hauhitaji utajiri wa mali....bali unataka utajiri wa nafsi....hata wenye maisha ya chini wanafuraha kuliko matajiri....namuomba allah anipe ataenipenda kwel....nmejikuta nawapenda hawa🥰
2025-10-01 19:54:34
0
maryamudunga :
😂😂nikikumbuka nilipakizwa kwa basikeli njia nzima nilikuwa naanguka😂
2025-09-25 20:07:40
15
Abdul Manish :
💯💯💯💯💯💯💯💯znz miaka buku
2025-09-26 10:04:58
1
ALPHA :
Huyu Sasa Ndio Mke Nataka
2025-09-28 18:45:08
3
user1529293792179 :
I love that song 🥰
2025-09-24 15:41:44
11
Bazmul Junior :
Harufu Ni Mbili Tu Siku Zote Khe Na Bee Yani....HUBA🥰🌹🥰
2025-09-25 14:33:29
8
🌴Prince charming...69☆☆🌴 :
mashallah hii ndo kwa shida na furaha furaha yake furaha yngu kwa kingi kwa kidogo Allah awajaalie mema 🙏
2025-09-25 06:41:01
22
user9027675959784 :
tulipanda mpaka guta alivyopata akaniacha🥺
2025-09-25 08:59:10
5
ESHANTY DARLING ❤️❤️❤️ :
napenda sana but mi muoga sana🤣🤣🤣
2025-09-26 05:10:37
8
HASH💥STAR💥BOY💥...💫 :
mawajua hao hua nawaona kila siku Mashaallah Allah awape furaha daima 🙏
2025-09-29 17:39:13
0
Vasco Mwankesa :
rare love in this world
2025-09-27 09:28:44
0
Judas iscarrot :
Mashaalah Allah wajaiie yote mema
2025-09-27 16:05:12
0
omaribnulsultan :
name of the Nasheed plz
2025-09-29 01:05:10
0
MeshTheUnstoppable🇰🇪 :
Some women are truly humbled, though very few.🙏🥰
2025-09-30 08:31:07
0
KAUTHAR ABAYA MODEST :
Hakuna kitu naogopa naweza nikamuangusha dereva 😂😂 yaan siwez kujibalance
2025-09-27 09:33:56
0
Swabrina Khalid :
Raha ya Huba ni mapenzi pande zote mbili wow mashallah🥰❤
2025-09-25 07:58:15
8
To see more videos from user @abdulbasit_salim001, please go to the Tikwm
homepage.