@pink_lady4144: Hapa sasa Mashaallah mashaallah . Set ya kitajjir ila hata wale maskini wenzangu tunaopenda vitu pambe kama hivi basi tusipange kukosa hii set. Kwanza CERAMIC Kisha Taam mnooo Kwa 470,000/- TU Full set Unapata food warmer 3 zenye kilo 1,2 n 3 na stand zake Vijiko set 1 na stand zake Vibakuli 6pcs n stand yake Sahani za shimo 6 na Sahan flat kubwa 6 Side plate 6 na stand yake Vijiko vya kuservia set 1 n stand yake Chupa ya chai 1 Pink_lady4144 Tupo Zanzibar mtaa wa vyombo Kwa Haji Tumbo Jengo la "Guangzhou Centre" Unaingia ndani mlango no 6 sawa duka la tatu mkono wa kushoto Karibuni sana kwa huduma bora na za uhakika Tunafanya delivery za ndani n nje ya nchi kwa uaminifu mkubwa