@sameerah_tz11: 😍❤️❤️ KAMA MPK SASA BADO UNATAFUTA UKUMBI WA SHEREHE YAKO BAS MIMI NAKUPA SOLUTION ❤️😍 @simba_hall_mburahati IPO KWA AJIL YAKO 📌MON-WED UNALIPIA 400000/= 📌THUR-SUN UNALIPIA 600000/= 📌FREE A/C AND STANDBY GENERATOR 📌FREE PARKING NA ULİNZ WA KUTOSHA 📌UNAINGIZA ZAIDI YA WATU 200-300 📌0788307441
sameerah_tz
Region: TZ
Thursday 25 September 2025 09:32:40 GMT
Music
Download
Comments
being_ley4 :
Ukumbi mzur mashaallah
2025-09-26 12:25:52
14
SALLY :
wa bei rahis ukumbu huo
2025-09-26 17:49:08
10
mashaally351 :
ndoa n baraka jmn oleweni
2025-10-13 07:36:29
14
mamu wa dar, :
sema wana zinguwa. ikifika mda wao tu. wanakuzimien taaah😂😂😂.
2025-10-13 11:46:28
6
binty_sultany24 :
Home mburahat
2025-09-25 14:05:26
5
Junayna🌻🦋🍀 :
Asante kwa kutuakilisha kipenzi Home mburahati 🥰
2025-10-13 17:31:30
3
SF collection231 :
hapo hata ukitaka kukesha shughuli yko ni wew tu yaan🥰
2025-09-27 16:19:35
4
ZEDDY🧕🏽🩵🍀 :
Ila Ana nadeem unapamban mnooo 🥰
2025-09-27 19:12:04
2
salshazy261 :
CS2025 itafanyika hapo🥰
2025-09-25 15:44:03
3
p_ kidoti 🦋 :
ukumbi nishapata bdo mume tuu
2025-10-13 05:49:26
3
Rehema Kihanga :
nakupenda we dada🥰🥰
2025-09-27 16:47:54
2
Tunu :
Anafanana na animol jmn sijui macho yangu
2025-11-22 10:42:30
0
pizack collection backaup :
naolewa kabl mwaka uishee hakii😂😂😂
2025-10-11 19:00:40
2
Nivana collection :
mm napenda unavyojistir kpz
2025-10-13 07:23:55
2
N@h@by :
nishafika apo pazur haswa yan unashuka unaingia ukumbini no boda wala nn❣️❣️❣️❣
2025-10-13 20:12:50
3
Unapambana xna kipenzi ❤️mungu akuzidishie
2025-10-13 17:42:30
1
VAMMY KISMALTI✅ :
inaingia watu 3000
2025-10-13 16:01:18
1
nasra kipingu :
ukumbi mzuri sana tulikaa kwa kujinafassi
2025-10-14 17:26:21
1
happyness685 :
unajua kutanga sameer
2025-09-28 06:49:49
1
rahma love :
mtup na bei
2026-03-23 10:56:11
0
azlatty :
seyran nakupenda
2025-11-20 06:28:02
0
Aminajuma1 :
ni pazur yaan watu wanaingia wengi tushafanya shughuli sana hapo watoto wa manzese wanapapenda hatar 🤣🤣
2025-10-13 12:46:13
0
Sheisjatty❤️✅ :
Ukumbi wng nlofanyia mahafali 4m4😊😂
2025-10-14 11:49:38
0
~ummy🥰 :
kuhusu viti na meza??
2025-10-13 06:06:58
0
To see more videos from user @sameerah_tz11, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.