@little_big_store: double side tape zinapatikan dukani,usiendelee kuharibu ukuta wako kwakutoboa toboa kuweka Misumari, wakat sisi Tumekuletea hizi Gundi Tupo Ubungo Mawasiliano Piga 06:89:75:40:32 au 0764:36;41:41 #doublesidedtape #Nanotape #tanzaniatiktok #foyoupage #tape

Little big store
Little big store
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 25 September 2025 10:00:36 GMT
64214
1147
69
318

Music

Download

Comments

notorious_ha
Mr&Mrs notorious🫀❤️ :
number zenu
2025-09-29 17:04:27
0
gee_collection3
G ATM 🏧 :
bei
2025-09-29 05:04:38
0
lamecklutahiwa
lameck Jassson lutahiwa :
NIPO SIMIYU NITUMIE MOJA
2025-09-30 16:08:05
0
mp47official
Mp47 official :
nahitaji moja please
2025-09-30 13:19:29
0
estherswai991
MissHadassah :
nikitaka kuamisha nilicho bandika .je hizo gundi hazitabandua ukuta
2025-09-28 14:05:50
0
user18619480612741
DXR💦 :
hivi inaweza kubandika kioo
2025-09-28 20:00:00
0
balkis.yusuph
Balkis Yusuph :
hiy nimbay san
2025-09-28 13:56:04
0
humbleman1210
humble Man :
wekeni mawasiliano
2025-09-29 10:24:27
0
user275629541685
barbiegal💫🥰🤘 :
ni nzuriiii sana nilikuaa nayo yangu ishapoteaa😔😔😔
2025-09-28 12:18:05
0
leniandason
leniandason :
Nipo kigambon nahitaj
2025-09-29 08:56:09
0
alhajjighalib
alhajji Ghalibu :
nataka hiyo gundi
2025-09-30 15:40:10
0
chalx7
Chalx7 :
nipo mwanzaa
2025-09-28 17:59:51
0
officialdee5662
official✨Dee🔏♥️ :
Naitaji nipo dodoma
2025-09-30 09:58:53
0
jacklin522
jacklin522 :
Ubandueaji wake ukutani mnaujua lakini😂😂
2025-09-29 13:00:55
1
mussasaidi31
Mussa Saidi :
Nataka
2025-09-28 12:31:21
0
maarifa_time3
MaarifaTime :
namba
2025-09-26 18:25:50
0
landrylepadre
ITCHAME BANZ :
utuppe nabayakko
2025-09-26 04:18:32
0
mnenegwa_tz
David Mnenegwa :
nipo Zanzibar nazitaka
2025-09-26 18:05:14
0
johnsonfundi75
mwanakwetu JJ :
nipo geita mnaweza kusafirisha?!?
2025-09-26 16:42:34
0
user8829234665704
user8829234665704 :
nipobezi beach nahitaji jamani
2025-09-26 18:16:24
0
user13442660117201
CHEFYONAuser :
nambayako
2025-09-26 14:01:31
0
gee_collection3
G ATM 🏧 :
simu
2025-09-29 05:05:06
0
tee_crazzy7
Tee _Crazy :
naitaj nipo kham
2025-09-25 20:41:52
0
jeremiahnuggu
Jeremiah Nuggu :
Toa mfano wakubandika na kubandua kwenye ukuta usio na tyles
2025-09-29 14:41:16
0
rhoda7094
Rhoda :
nata dear
2025-09-29 20:14:29
0
To see more videos from user @little_big_store, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About