@mumumabusiness: part 03 #allah #islam #islamic_video #dhikr #viral #islam #creatorsearchinsight#islam

mumu_mabusiness
mumu_mabusiness
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 25 September 2025 13:20:58 GMT
1160936
97584
1059
5982

Music

Download

Comments

hassanalcuenca
𝐂𝐔𝐄𝐍𝐂𝐀 :
Me nilikuwa nishajua kabisa icho kisomo kikiisha kinachofata ni Pilau😂
2025-09-27 02:42:20
123
ummuomar5678
ummu Hilaal :
nasomesha madrasa online ukitaka nifollow
2025-09-27 17:20:42
57
kimjr670
kim jr67 :
mashaallaah nilikuwa napenda kusoma san nikiwa madrasa gonga like kam umekwenda madrasa
2025-09-27 06:33:11
301
mariam.ecram
Mariam Ecram :
allah naomba unisamehe zambizngu mimi nawazazi wang nautijalie mwisho mwema nakuomba allah unijalie niolewe niwekwenye ndoa yallab amin
2025-09-30 11:24:45
30
user21884972959180
Lukman dibwine :
allah naomba unisamehe ma zambizang mm na wazaz wang utujalie mwisho mwema
2025-10-01 20:08:26
20
faah.kibah
Faah Kibah :
mashaallah mnanikumbusha kipnd nip madrasa jmn tulokimbia madrasa kisa bakora tujuane
2025-10-04 20:33:16
6
user8475417555806
user8475417555806 :
Allah, Allah, Allah, Allah, Allah, Allah
2025-09-27 19:34:41
8
mbarakakanduru
Mbaraka Kanduru :
hivi kitabu Cha hii Dua kinaitwaje jamani kwa anaejua?
2025-09-28 07:17:32
12
user5266827712039
fatuma :
mpaka nimetmn nifanye dua ht kesho 🥰🥰
2025-09-28 21:12:29
13
johary200
johababy💋 :
Ar-Rahman, Ar-Rahim, Al-Malik, Al-Quddus, As-Salam, Al-Mu’min, Al-Muhaymin, Al-Aziz, Al-Jabbar, Al-Mutakabbir, Al-Khaliq, Al-Bari, Al-Musawwir.
2025-09-27 14:52:19
11
user3000755286119
mom :
Allah
2025-09-25 17:27:57
7
conrad1697
Conrad :
Umeturudisha madrasa sheikh mashallah
2025-09-26 21:59:02
16
user3485863453081
mwajuma🥰🥰 :
mashaallaahu mung awe pmoja na ww
2025-09-29 18:36:49
5
user9751581571454
Mimi :
Hivi ukitaka hichi kitambu ukienda dukani unasema kitabu gani jamani
2025-09-27 10:10:59
8
aishery.ally
Aishery ally :
naombe kuuliza hii dual una weza ukawa unaisoma ww mwenyew kwenye mambo yako yafunguke uku una weka ubani
2025-09-30 11:07:58
5
zeymeen
Zeymeen :
Napenda sana kusoma wasilatu shafi
2025-09-27 06:45:53
6
khadija.idd
Khadija Idd :
amiin 🤲
2025-09-26 11:16:54
5
dove_113
Dove :
ulietuma hii naomba namba yako ya what's up tafadhali, niweze wasiliana nawe
2025-09-27 07:40:37
6
ally_abdi1
ally :
mpaka sahi naisoma bado kwanguc
2025-09-27 01:00:57
9
user3996068138111
user3996068138111 :
Nimeipenda nilikua nahitaj mwanzo mpaka mwisho
2025-09-27 10:08:24
6
hubba.classic
Hubba classic🙏🙏🙏 :
Baba tupe mwendelezo
2025-09-27 05:24:29
5
sharfakitukula
sharfakitukula :
tufundishe kwa njia hii jaman itapendeza sana
2026-09-26 10:23:25
1
alibabadulla5
alibabadulla :
ukiufwatiliza kila maharibi hata kama uko na bisi ama maziwa ama biscoti kando na madrasa majumbani mwetu tangu mamamzetu
2025-09-30 18:07:29
2
niematndasi
Niemat Ndasi :
ALLAH
2025-10-29 15:36:42
1
To see more videos from user @mumumabusiness, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About