Nilivyomaliza kuangalia hii video nimeenda kununua nyama choma kilo1, chips zege2 na fruit nimekula vyote😂
2025-09-25 17:24:00
365
Ibrahim :
humu humu coment section kuna watu hawafiki ata 2026
2025-09-26 20:56:09
105
Mr mining tz :
Baby girl are u human or an angel sent by God
2025-09-25 20:01:53
81
⃟ :
sawa Andrew tate 💯
2025-09-26 10:19:27
16
uzuri uzuriii :
we said my love❤️ubarikiwe
2025-09-26 08:29:11
5
I’m :
thankyou ❣
2025-09-25 16:04:11
10
Kenny ♟️ :
are you aquarius ?
2025-10-19 12:23:31
6
Naomy✨️ :
thanks I needed this 🙏🏽❤
2025-09-28 05:02:24
9
beauty by lisa :
2060 nitakuwa 62😂 sitokuwa mzee sanaaa.. nitakuwa nina afya na maisha mazuriiii,na pia sitoangalia nyuma na kujuta kwa kitu chochote lakini nitashukuru kwa sababu niliishi na kufurahi miaka iliyopita.. one thing about me now, ninajitahidi kuishiii… kwa sababu sitak kuja kuregret 🥰💃🏽
2025-09-26 13:30:46
65
star✨ :
You make me sad 😩
2025-09-25 15:21:34
14
tressy smart 🎀 :
umewazanini jamani ♥
2025-09-25 15:29:42
35
Cowbell27 :
wengine wamekufa!! unaweza kuwa umekufa wew wengne wanakukumbuka
2025-09-26 11:36:34
14
. :
tuwekee kwanza movie kwenye Netflix apo nyuma😂
2025-09-25 20:36:42
16
dryoram_og :
Nimeogopa😂 em ngoja niweke my lifestyle right na kumtumikia Mungu kwa kadri niwezavyo
2025-09-25 21:32:16
10
MONICA_FURNITURE🪑 :
DAAAH HIII IMENITOA KITANDANI AISEEE😭😂KWELI HAYA MAISHA BWANA HAYANA FOMULA ENJOY HAPO ULIPO NA USICHEZEE MUDA AISEEE MUDA NI MALI
2025-09-25 15:50:56
17
Ray Mwikuka.( AmazingVoice24) :
All in all, 2200 wote tutakua tume kufa😂
2025-09-26 12:11:22
11
Renatus Leopard :
wala 2060 sitakuwa mzee kihivyo
2025-09-25 18:10:33
9
Norraya🫶🤍 :
Kikubwa MKUNBUKE MUUMBA WAKO KATIKA SIKU ZA UJANA WAKO 🙏😫🔥❤
2025-09-26 11:50:36
6
adaberrykizzy💞 :
nakupenda saa dear
2025-09-25 17:42:10
5
From your contacts :
sasa mbaka niende 2060 kwanza ili nirudi kuvifanya ivo vitu😂
2025-09-25 18:53:34
5
🦋🦋🦋 :
And I think you should go watch “you and everything else” it’s exactly what she is saying❤
2025-09-25 16:24:20
23
Eve🥰😘 :
I just lov u girl🥺
2025-09-25 17:12:11
6
️ :
SadTruth🪫🥳
2025-09-25 15:20:21
7
PLB :
nnavyo kuona utafika 2070 ukiwa na nguvu believe me
2025-09-25 20:19:08
6
To see more videos from user @debbylcas, please go to the Tikwm
homepage.