@fredsaloon: Elf 50 kusuka ivyo rasta na kusuka . Piga simu kawaida au Whatsapp #0714528011 . Tupo Wazi Kila Siku kuanzia saa 2 asubui mpk saa 4 usiku karibuni . Tupo kinondoni mkwajuni kwenye kituo cha mwendokasi upande wa magari yanaoenda magomeni #fredsaloon . Tupo pia Kigamboni roundabout ya mnadani kwenye ndani ya sheli ya Rio energy . Chakula free kila siku // Vinyaji free // Ice-cream ijumaa ni biriani na kuku #biriani_la_fredsaloon 🍛 🍛 . #hairstyle #Tanzania