@dr_katema: Vaseline cocoa set 🔥🙌 @beautecosmetics_tz #skincare #cosmetics

DR KATEMA🩺
DR KATEMA🩺
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 25 September 2025 16:32:15 GMT
616384
12065
662
1091

Music

Download

Comments

4682lush
lush :
mwez wa pil huu natumia siwi chocolate wala coco,wal milo🙌🙌🙌🙌
2025-09-26 13:28:18
124
suzy82717
Nicee 🦋 :
Usoni sasa coz me nkipaka iyo chunusi znajaa
2025-09-26 04:37:26
27
halima6604
Ruth ❤️‍🔥 :
yaani Mimi yamenipenda sana sana🥰 na rangi Iko safi
2025-09-26 04:46:02
14
user30695930153688
Rehema :
mbn sijaona namba
2025-09-25 16:53:39
6
user16183465551618
merystar :
Sasa mnasema ana chocolate colour mnaangalia uson au miguuni cz mnasema usoni haitakiwi kutumia
2025-09-26 10:00:24
5
user1815250601825
G jnty🌹 :
izo zote nimetumia, hamna chocolate colour adi nikaamua kuchanganya maji ya naomi asaivi ndo naona angalau. msinishauri mtanichanganya🙃
2025-11-24 09:29:53
7
lavinahdalmas
Lavinah Dalmas :
mi watu wakiniuliza napaka nini nkiwambia tu napata vipere ama mtu akinishika uso napata vipere sijui wachawi
2025-09-25 17:56:07
1
user75487818461538
user75487818461538Rose mwaluko :
kwa vyote bei gani?
2025-10-15 11:13:18
2
jacquinter
Aiem quinter outfit :
mim uso wang mkavu hiyo roshen inanfaa
2026-06-24 14:30:20
1
suzanpatrik
kamamaa🦋😘 :
kununua mafuta mazur tunaweza shida muda wa kuzitumia kwa ufasaha hatuna😫😂😂
2025-09-26 15:13:54
6
jacqueline.christ938
MUHEHE OG. :
Liuso lng limekataa mafuta 😂😂😂😂nimepaka hiyo mafuta lkn wp wallah uso wng umeshindikana kwakifupi 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-10-25 08:57:27
0
ivannamatuta
felister happymakus :
mm nahitaji hii combo dr wang
2026-06-19 11:36:00
1
user70294365066187
user70294365066187 :
sasa unapaka zote Kwa pamoja au inakuwaje
2026-06-08 19:13:59
1
gertruda.machibya
gertruda machibya :
kwani hairuhusiwi kutumia hiyo moja kubwa msinifokee naitaji kujua
2026-06-18 15:36:46
2
manjumbega
manjumbega :
nipo dodoma naweza kupata huduma?
2026-06-01 08:20:22
1
agachu17
Agachu💦 :
bei bei weka bei bei
2026-05-13 10:27:47
1
its.momo94
Singida cosmetics :
Singida zipoo
2026-05-15 10:02:58
1
ave36417
ave :
nitaipataj kak hiyo lation
2026-05-16 15:22:05
1
dinnahnanyaro
Dinna Nanyaro :
naomba no zako nahitaji unitumie niko arusha
2025-09-25 18:51:25
4
graciek90
Gracie :
naomba kuagiza mbeya
2025-09-25 18:32:21
0
mombee2017
Mom Bee :
blue space perfume unayo
2026-03-26 17:16:26
1
maamcute3
maamcute3 :
Iyo glutaaa Shingp
2025-09-25 20:49:38
2
kuruthumzarafi88
♒️ minaa88♾️🧿 :
huu mwaka lazima nifike dukani kwako nichukue hii seti naomba uzima tu
2025-09-25 19:01:32
3
hellen.boniphace
Hellen 🦺 :
Dr katema mm naitaka na usoni nitumie nn mana nilipaka na usoni nikapata chunusi
2025-09-26 05:36:33
2
echaz53
Echaz :
Niko gairo morogoro nahitaji, kama mnamawakala tafadhari
2025-10-08 07:52:23
1
To see more videos from user @dr_katema, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About