Nishawai enda na classmates yangu Dem kama huyu alafu akalimwa headii na jitu😹😹😹 nli varnish chini ya meza😹😹
2025-09-25 18:44:35
173
pabloo.gamer :
mbona ananishika!!!!!
2025-09-25 17:32:19
367
Mwas :
ukianza hii ujinga nakuachanisha nahuko ulimwe vizuuri. Mi hutafanya nipigwe bure
2025-10-05 07:51:54
29
🕸️RACKEL🕸️ :
hii tabia ilifanya skuizi nakunywa tu ndani ya nyumba🤣🤣🤣🤣🤣nikilewa mi ukuwa rambo
2025-09-25 17:38:24
158
oprah ❣️😍lovelet 💫Mogwasi :
huyu ni bwanangu wallahi 😂😂 akilewa hukua Rambo
2025-11-10 03:24:48
14
pendo🌹 :
haga ni yako ama ni ya njeri 😂😂😂😂
2025-09-26 11:44:38
53
Sly🌼🖤 :
Huyu mbona ananishika🙄😭😂
2025-09-25 17:39:29
180
Nikki💗🎀 :
you are so funny
2025-09-25 20:01:08
24
🥤🧃 :
Na hawajuangi ku fight😂😂
2025-09-25 17:54:58
104
🤍🎀Lucy ✨ 🍃Dianna 🩰🤍 :
you have my support 😹😹😹
2025-09-25 17:29:55
39
linnet shery :
This is too accurate to be an act gurrll😂
2025-09-25 19:29:24
14
Kiddoh 🧸🫧 :
usikubali walai yani anakushika na hujawai mkosea 😂
2025-09-25 18:18:52
22
Hellencii kimani :
Mimi hii ujinga siwezi itaka.. alafu aangukie pombe za wenyewe za 20k😂
2025-10-24 09:03:03
36
Mrs moh :
sitaki kukumbuka pombe ilifanya nikatoa nguo nikasusu kwa watu 😭😭the worst part n they recorded me wakanionyesha kama zimeshuka nliacha pombe hadi sahiii🤣
2025-09-25 18:07:56
57
darcie✨ :
huyu ni Mimi Walae 😂😂😂adi nalia
2025-09-25 17:56:08
76
DJ DOMMY THE MUZIKAL GENIUS :
nishai enda na besthte yangu dunda side za gachie 108 Ile vita tulipigwa sijaisahau 🤣
2025-09-25 21:22:35
20
Nyiva🥀🌹 :
hii ni kiburi ya 2nd borns😂😂😂😭
2025-09-25 19:09:42
41
To see more videos from user @_val.erry, please go to the Tikwm
homepage.