@ibra_carter: Kuondoa Nyama nyama Tumbo pembeni pamoja Kukaza misuli ya tumbo Jitahidi Ufanye Walau 30x3 kila siku utanishukuru baadae na Kama Unampango kuondoa kitambi bas Jitahidi Usiku kula Kidogo Au Chakula Chepesi ili upungue vzr👌 👉Wasiliana nami moja kwa moja 📌 Huduma ya Mazoezi ya nyumbani & gym 📌 Ntakuhudumia kokote ulipo (DM au WhatsApp 📲 0652785254 #foryou #gym #motivation #absworkout #Fitness