fact na hili lipo Kwa wadada wengi sana unakuta anasimu wa milion mbili lakn maisha yake magumu kuliko ila Kwa wanaume ni wachache sana wa kumiliki simu ya milion mbili halafu awe Hana kazi ya kufanya
2025-09-27 11:29:56
7
farhat :
bwana angu huy ...na kuhangout na matajr wenye magar 😂
2025-11-08 14:27:01
0
jumamuhanji55 :
Acha kila mtu atumie kitu anachokipenda ili ajifariji,
2025-09-26 15:01:01
7
mangitenimangaa :
sio kweli
2025-09-26 11:18:57
8
Official Runa Ngwambe :
umepiga palepale
2025-09-28 06:15:49
0
𝐂𝐡𝐫𝐢𝐬𝐬𝟒𝐇 :
As long namiliki simu kali na nzur ya garama why niwe maskin na ninan alikuambia maskini ana hela za kununua cm kali kila mtu atambe kwenye anga zake 😅