@lady_meow9: #tanzaniatiktok #tanzaniantiktok🇹🇿

lady_meow
lady_meow
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 26 September 2025 11:43:34 GMT
44875
1607
275
190

Music

Download

Comments

k711622
kz :
Mashehe wengi wanaroho za kwann ukienda mskitin na kigar chako unaskia mtume anasema haita kuzika hiyoo mara unatembea na jeneza hilo hapoo Roho nzur itoke wap.. kila m2 anajua atakufa mpunguze husda bwana.. maada hiy hiy sikuakibadilsha utaskia Ongeza mkee.. watatuuu... 😂😂😂 ili uendelee kua maskin..
2025-09-28 20:28:39
8
user4980061707288
user4980061707288 DR MVANDA :
nakubali
2025-09-29 13:04:43
0
user4701331341976
lawrent63 :
tunao amini maneno ya mwanba tujuane kwa like
2025-09-29 04:56:55
24
isayaedwardmareal
isayaedwardmareal :
hayo ni mawazo yako mtu hawaezi kamwe kuwa na roho nzuri eti kwa sababu ya kwenda kanisani au msikitini roho nzuri ni asili ya mtu mwenyewe na sio ny
2025-10-01 11:31:58
0
liiyah558
~Aaliyah💫🤎 :
oyaaaaa halafu mungu anatuelewa kuliko hao wanao abudu wakiwa wanafki mioyoni mwao✅
2025-09-28 08:48:11
19
jameelah672
jameelah♉ :
Hatimae tumepata mtetezi🤗
2025-09-26 20:15:38
74
willymkatolik
Willy mkatoliki🇹🇿🇮🇱🇰🇪 :
wachawi na wazizi wanaongoza kwenda kusali ukiwaona utadhani wema kumbe mioyo yao imejaa chuki
2025-09-28 09:45:26
2
idrissamohamed16
idrissamohamed16 :
Unajifariji Kwa Kumuasi Mungu
2025-09-28 14:21:01
8
mohamedrajabu738
African boy, :
hao ni akina sisi hapa hatuendi msikitini wala hatuendi kanisani lakini tunaishi nawatu vizuli sana kuliko hata wanaokwenda kuhiji makha
2025-09-27 17:47:32
0
kahuto0
kahuto :
nilikuwa nasali aisee nimejikuta nimeacha kwasababu ya kitendo alicho nifanyia mmoja wa viongozi wa dini yangu
2025-09-27 19:29:35
6
li68846
li :
ña ujue kuna tofauti ya dini, na kumuamini mungu, nawew mpaka umesema hivyo limekukuta jambo,😅
2025-09-28 10:14:33
3
sadrikomar2
Bezzu :
Kuna utafauti wa wanaoenda misikitini,makanisani Na (wachamungu) Hata mchawi, Huenda kwenye nyumba za ibada..!!
2025-09-26 12:23:00
14
saimonjr47
@saimon :
In short unasema mpagani ana roho nzuri kuliko mchungaji au padree?
2025-09-27 05:16:53
2
mwiba46
mwiba :
na ha wanao swali swali hujiona ndoa kila kitu
2025-09-26 19:52:56
0
12jo058
johaneskarubandik :
ko una shauri je ??
2025-09-27 10:51:28
0
mastersubie
master Subaru &urop car tz🫅 :
fact
2025-09-30 03:54:05
0
geofrejulius
GEOFREJULIUS :
ni kweli kabisa sikupingi wala
2025-09-26 14:56:51
7
jutimenntabaliba
jutimen :
kweli
2025-09-29 09:11:19
0
didas.gobese
Didas Gobese :
Dini ni utapeli
2025-09-29 08:20:36
0
rehemaowino6
rehemaowino6 :
nikwel kabsaaa ♥️my
2025-09-29 11:09:00
0
kizamani_kisasa_barbersh
Kizamani kisasa :
Uvivu tu wa kusali na kumuogopa aliyekuumba. we jidanganye kwa uwezo gani ulio nao ukaweza kuwa chunguza wacha Mungu dunia nzima na ukapata majibu haya. jidaganye na pole kwakua wakala wa ibilisi
2025-09-28 07:43:59
5
nascober29
Nascober29 :
wazi sana chief
2025-09-26 15:06:25
4
mrturuki
Mr Turuki :
Mambo ya kwenda msikitini na kwenda kanisani wala haihusiani kuwa na Roho nzuri. Kwaiyo usifananishe ibada na Roho nzuri kwa sababu wengine wanajificha kwnye kivuli cha ibada ili afanye mambo yake. kiufupi kwenye ibada ni sehemu ya maombi tu kila mmoja anaomba MUNGU kwa ubinafsi wake. Ila MUNGU pekee ndo anawajua wenye roho nzuri wote sisi kwa sisi binadamu atujuani mana wengine wanaigiza tu wana roho nzuri kumbe moyoni mwake ni shetani
2025-09-29 07:04:11
0
madame2519
Madame :
mtetezi wetu yu hai😂😂😂😂
2025-09-29 08:09:33
0
kahindiarts
KahindiArts :
ni kweli kbs na shida yao ni pale wanapojitwika ukamilifu hivy hukosea bila wao kujua wakiamini wapo sawa
2025-09-26 16:05:55
11
To see more videos from user @lady_meow9, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About