@ally_el_bakry: Laa hawla walaa quwwata illa billah.” Hakuna hila wala nguvu isipokuwa kwa Mwenyezi Mungu. Ikiwa mambo yako hayaendi sawa—ridhiki ngumu, biashara haiendi, hata chakula kinakuwa tabu— sema: اَسْتَغْفِرُ اللهَ وَأَتُوبُ إِلَيْهِ (Astaghfirullah wa atubu ilayh – Naomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu na ninatubia Kwake)#mawaidha #muslim #trend #fpy
🌿 Ukumbusho:
Usianze siku bila kumkumbuka Mola wako.
Sema: Alhamdulillah kwa uhai,
Astaghfirullah kwa makosa,
na Laa hawla walaa quwwata illa billah kwa msaada Wake.
Baraka za leo ziko kwa anayemkumbuka Allah 💚
2025-09-26 12:17:33
448
t😍h💕u💓m❤️a😋o😘m💛a🦋r🌺 :
Laa Haula Wala quwwata illa Billah
2025-09-27 05:45:38
86
@smile_vivan"" :
mim ni mkristo ila napenda sana uislam
2025-10-03 16:36:12
45
ItsGeneX🇰🇪 :
la hawla wala quwwata illa billah.🙏
2025-09-28 00:22:25
39
kulthum :
allah atujalie mwisho mwema
2025-09-27 11:28:26
54
kurwa02 :
laa haulah walaqwatah illa billah
2025-09-28 08:53:44
10
Dyda :
Allah ndio Kila kitu Allah tujalie wepesi kwenye mitihani yt ya hp duniani 🤲🤲
2026-05-01 18:54:22
6
mimah :
Laa haullah wallah kuwaatah Illah billah
2025-09-27 09:22:16
17
Ibrahimu :
LaA haula wala kuwata ila billahi
2025-09-27 05:17:31
12
yassinmohamed1099 :
Alla naomba unijaliye maisha marefu ishallah
2025-09-30 20:37:12
33
rbn :
naomba msamaha kwa mwenyezi mungu na ninatubia kwake Ameen
2025-09-28 19:15:54
18
omary saiyd :
kwani hakika Allah ni mwingi wa Allah s. w. a
2025-10-20 20:39:15
6
saudaramadhani07 :
Allah atujalie mwisho mwema
2025-10-05 19:32:34
5
Daa zay. :
laa haula wala quwwata illa billah
2025-09-29 11:32:03
6
i t 's z a y n a b 🍀🌸 :
ukumbusho huwafaa walioamin
maneno matatu bora zaidi na yenye uzito katika mizani siku ya qiyama
1.subhana-llah
2.walhamdullillah
3.walaillah Illa Leah,,,wallahu akbar
2025-09-28 12:54:16
47
Mohammed Ali Muhammad :
amiiiiin amiiiiin amiiiiin amiiiiin amiiiiin
2025-09-26 19:02:14
10
Rizikimoahmmed :
Amin ya yarabi 🤲🤲🤲
2025-09-26 21:01:44
5
Hassan ISSA :
ALLAH Akbar
2025-09-26 17:34:51
6
Meddy Tyga :
alhamdulillah
2025-09-26 22:12:58
5
Mamaaa :
laa haula Wala quwwata illabillah
2025-09-27 17:33:50
6
Sarah Anthon :
laa hawla Wala quwwata illaa billah
2025-10-20 15:16:48
22
umulkherirswaleh :
shukrn
2025-09-26 23:10:39
6
* :
Laahawla walaa quwwata illaa billah
2025-09-28 09:45:02
6
chubby :
allhamdulilah
2025-09-26 18:32:16
6
Maryam :
alhamdulillah kwanilichojifnz
2025-09-26 14:59:41
15
To see more videos from user @ally_el_bakry, please go to the Tikwm
homepage.