@bbcnewsswahili: Kakakuona anashika nafasi ya kwanza katika orodha ya mamalia wanaosafirishwa kwa magendo duniani. Kwa nini wanyama hawa ambao hata hawashambulii binadamu wanawindwa sana? @mrs.tadicha anatueleza ##bbcswahili #kenyatiktok #tanzaniatiktok#kakakuona #wanyama
bbcnewsswahili
Region: TZ
Sunday 28 September 2025 10:00:00 GMT
Music
Download
Comments
️HENNA HENNA :
kaka kuona ukimuona unaona mbali,
2025-09-28 11:42:15
15
BINAM TZ🇹🇿 :
Wasomi tufundisheni, maana wao ndo wanawalinda huko porini🙏🙏🙏
2025-09-28 10:29:54
8
ally atz :
Mimi na gamba lake
2025-09-28 11:07:48
3
Sakinah dahar :
ndo kwanz namjua leo
2025-09-28 12:51:37
4
Disy :
anapenda kutembea usiku na kula mchwa anapenda kutembea pekee yake ninaye mmoja hapa😂😂
2025-09-28 12:20:32
1
Baha :
huku kwetu ziko mingi na ziko nakiburi🤭
2025-09-29 02:30:24
3
Denis Maanga :
kakuona anatabia ya kutabili vitu ambavyo havijatokea
2025-09-28 11:44:01
4
️ :
Nan kaja kusoma comment kama mm😅
2025-12-17 20:50:35
0
Hamis Rashidy :
Kaka kuona ana aibu sana hawezi kula mbele za watu
2025-10-24 03:19:35
2
kibabu :
anatabiri sijui nikwel🤔🤔
2025-09-28 13:43:22
3
Iván Qrá :
ALIYETOA IDHINI NI NANI?
2025-09-28 17:22:29
2
samson jr :
hawa acha wapotee tu kwenye uso wa dunia
2025-09-28 12:38:30
3
John mariba :
Tatizo linakuja kwamba hao wanyama wanasafirishwa kwa njia gani na je mamlaka zinahusika na usimamizi wa wanyama pori zipo wapi? na Kwanini Afrika?
2025-09-30 18:08:39
1
boniphacekasubi :
gamba la kaka huyo kinga tosha kwa maadui wa maisha yangu
2025-10-24 11:14:02
2
Dbala Yssuf :
tabia ya kula mchwa na kula miti
2025-09-28 11:27:18
3
hom£b○Y. :
kakakuona aka sheikh yahya husein mze wa utabiri
2025-09-30 13:57:07
1
shimluu_23 :
sijaona
2025-09-28 10:04:59
1
msofeViatu 👞 :
Kungiza ulimiwake kwenye mashimo ya wadudu wadogo wako mng'ata ndiyo anawakula 😁😁
2025-09-28 12:18:06
0
Bintii dee!!! ✨❤️🌺 :
Ndo naona Leo najuaje tabia zake 🤣🤣🤣
2025-10-06 21:39:54
0
yahzii :
vibaraka nyie
2025-10-15 02:30:26
0
David :
uku tz ni wengi sana
2025-12-12 21:18:18
0
MONDO_KID1🫅 :
mimi ninae nyumban
2026-05-29 18:16:43
0
Hedaya Mwotela :
natafta Gamba la kaka kuona
2026-02-22 06:41:17
0
raviol :
kwani ulikua Una fanya nini ndio kakakuona🤣🤣🤣
2025-10-30 21:54:16
0
RibelWithCause🪐 :
soko lake liko wap
2025-09-28 12:47:22
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.