@1maulidimanzi: Replying to @balanjuna ALLAH AMUONDOSHEE ADHABU ZA KABURI SHEKHE WE5U IMANI PETRO HAKIKA ALIKUWA IMARA MNO,,,,
maulidi manzi
Region: TZ
Friday 26 September 2025 13:18:28 GMT
Music
Download
Comments
Balmwifiman :
Ndugu zangu Waislam, nimegundua hawa Wakristo si kwamba hawafahamu ila kujifanya hawaelewi. Wewe Mkristo jisalimishe kabla adhabu ya Allah kukufikia
2025-09-26 19:21:27
69
user9263843005381 :
tunu yetu Allah kashaichukua allahuma ighfrilahu warahamahu wasikinihu filjaana Imani Petro
2025-09-27 16:33:22
62
jona :
hii dini ya Mohamed ni sarakasi tupu
2025-09-27 05:45:11
5
MailMan :
Nimeamua kuwa muislam. Hoja za waislamu zina nguvu ya kutosha. Kweli nahisi nimedanganywa miaka na wakubwa wetu wa kikristo
2025-09-28 05:25:00
56
James Jastin :
kama mambo yenyewe ndy hivi mim Bora nisilimu tu niwe muislamu kuliko kuwa mkristo
2025-10-12 04:21:40
22
ABU YASIR :
Wote tumsomee sheikh Imani Petro alfatiha Allah amsamehe dhambi na aifanye kabri yake kiwanja Cha peponi
2025-09-27 19:37:20
35
dullahabood0 :
wakiristo Wana mavi kichwani
2025-09-26 18:13:47
12
Rev Bonface Ingadi :
hajajibu swali kwa mjibu wa Quran
2025-09-27 20:13:52
6
rmatola :
sheh Petro Allah amrehem alibadili din akaifata Haq mashallah
2025-09-26 14:35:59
14
Osa :
Imani Petro na Yahaya Allah Awalipe Kheri nyingi huko Walipo,.
2025-09-27 05:03:50
24
tozzaale :
Chuma Mwana wa Kefa Allah amuangazie nuru njema
2025-09-27 15:26:07
5
j :
Nirikuwa sijuwi kwamba arifariki!ina lillahi wa ina lillahi rajiuna,mwenyezimungu amu rehemu.
2025-09-27 10:02:28
7
Mahamoud mwanyajile :
chizi huyo
2025-09-26 18:01:04
7
user4493953977979 :
Allaahumma Ghfirlahum Warhamhum Waskinhum fil jannah yaa Allaahu 😭😭
2025-09-26 19:22:12
9
Haji Said Teketeke :
mwenyezi mungu ampe kauli thabiti amuondolee adhabu ya kaburi ,,,
2025-09-27 03:47:49
5
Issa Misiko :
wachungaji hata biblia yenyewe hawaisomi,🤣🤣
2025-09-26 19:10:02
5
Zakaria :
Allah u Akbar alhamdulilah Kwa Neema uislamu 💯🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
2025-09-26 19:50:00
5
Balmwifiman :
Huyu jamaa ni mkali Maashallah
2025-09-26 19:27:20
6
salim Nasrri :
Wallahi thumma wallahi Allah amuhifadhi huyu shekhe petro
2026-04-30 21:38:36
1
jona :
lakini Mohamed alisilimisha majini
2025-09-27 01:37:02
1
Allah Akbar :
takbir
2025-12-23 17:15:37
1
Ramabey :
Waislamu Takbiiirr
2025-12-22 06:06:44
2
Allah Akbar :
Allah Akbar raha si raha waislam
2025-12-23 17:20:38
1
Teddys :
ya Allah ya Rab mjaalie Imani Petro Jannah tul firdaus
2025-11-29 13:03:45
1
jona :
watu na makofia ya majini ati dini ya haki mapepo wote
2025-09-29 19:36:02
2
To see more videos from user @1maulidimanzi, please go to the Tikwm
homepage.