@muu.saleh: Story ya kinyama ya fidel lopez aliemuua mpenzi wake kwa mikono yake miwili #fyp #viral #truestory #truecrimetok #fidellopez

Muuh saleh
Muuh saleh
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 27 September 2025 16:18:17 GMT
33851
2209
130
120

Music

Download

Comments

sharifamatunda08
sharifa matunda :
Alaf ole wake mtu aniulize kwanini niko single yan ntamua kwa mikono yangu 😏
2025-09-27 17:05:22
40
raymami2
raymami :
Kwanza unaongea haraka humalizi bando🥰🥰 mi nakupendaga tuh🥰
2025-10-11 17:27:09
26
nammynasty
Naymah🤍🫧 :
Muuh kuna ile story ya celest we also need to hear it plz
2025-09-28 09:16:51
7
user1962792947663
naya :
Nyie nimesisimka baada ya kutia mkono kutoa utumbo😢😢
2025-09-28 18:43:56
11
asm3r58
@sm3r😊 :
Da mzuri☺️☺
2025-09-27 16:22:53
5
sharifaali77
bint aliy 970 :
allah atulind na wanaume wa aina hii
2025-09-29 11:53:24
12
ummuswalhaa
ummuswalhaa :
daa mungu atuepushe na hao wanaume mithani kwakweli 😭😭😭
2025-09-28 16:23:58
18
damzuri28
Mary Mgonja :
uwiii mm pia imenitisha asee kwelii fear men???? mm niacheni niwe single tu watoto wangu alonipa mungu wanatosha
2025-09-27 17:48:48
9
reylhan.rammsey
reylhanramssey💝💝 :
duuh wanaume ni wanyama jmn 😮😮
2025-09-27 16:45:36
12
ruqayyahhasheem
Ruqayyah Hasheem :
kipenzi huaga nakuonaga station posta sijui ndo wewe
2025-10-01 13:42:18
7
irenemg271
baby m.G :
Asante dear
2025-10-02 07:34:02
3
katty_momas
Madam Katty❤️ :
Nakupendaaa Unasimulia vizuriii Sana❤
2025-09-28 10:42:39
12
feylioness
Fey 👸 :
Kidogo afanane na Michael wa prison break
2025-10-11 11:14:26
1
faaleuk
fanilander💚🤍❤️ :
You are very good at telling stories. 🥰🥰🥰
2025-10-12 13:04:58
3
user4634544927458
user4634544927458 :
Mnakupenda sana ila nakuomba ujistiri kipenzi shingi inaonekana kwa sisi waislam haifai🥰🥰
2026-07-13 10:23:54
2
msjassy20
🌿AUNT JASY❣️💦 :
mamaaaa angu daanh nimeshindwa kumalizia wallah daaanh nyie wanaume apan🥹🥹🥹
2025-10-12 10:25:17
6
userneemakhan
♡Nai Aryan♡ :
ni uzuniiii kwakweli 💔
2025-09-28 08:39:43
5
user7548169673820
Annamaria :
yesu wangu story inatisha alafu unahadithia simple tuu
2025-12-31 12:15:08
0
riolbae
Cha eun woo’s wife🇹🇿💕 :
Asante ntaangalia asubuh naomb nisave😓
2025-10-11 20:59:27
2
cutereggy5
M$ GINA 🦋✨ :
naomba story ya sewol ship plz tag me
2025-10-07 08:17:25
2
babyjuliana076
babyjuliana076 :
jaman uvumiliv ipo siku utakuua mtu kila siku unapigwa unavumilia tu 😢
2025-10-01 18:57:01
2
mrssalum8
𝒄𝒖𝒕𝒆 𝒐𝒇𝒇𝒊𝒄𝒊𝒂𝒍 🥀🥀 :
huyo mwanaume mshenz saana
2025-09-28 12:23:32
3
user4793622491134
riyadhwa :
dada mi naomba utuletee stori ya yule usanii wakorea alie uwawa ivi karibuni
2025-09-29 16:12:42
2
mishahass471
mishahass471 :
C mchezo jamaniii 🥺 wazungu ni Wanyama pori haina Hofu wala Woga na Huruma kwenye moyo wao jamaniii 😢 Lloooh
2025-09-30 12:11:38
2
ney_msabaha
ney_msabaha :
Hapo kwenye vinyama nyamaaaa uwiiiiiii nahisi kutetemeka 😳😳
2025-09-30 12:22:34
2
To see more videos from user @muu.saleh, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About