@officialpastormyamba: kazi kazi, jiandae kwa tamthilia ya Prayer Force.. Coming soon kwenye app ya Holy Movies

Pastor Myamba
Pastor Myamba
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 27 September 2025 17:39:17 GMT
214176
9205
158
144

Music

Download

Comments

adolphine47
Adolphine Amisi🥰🇨🇩🇨🇩 :
Unamugusa sana pasta dada 😒😒🤭
2025-09-28 04:42:38
10
eddymasinde09
Masinde :
Huyo pastor ni yule alikuwa ana-act kwa Movies za kanumba?
2025-09-30 11:22:39
22
tuliakatoto
couple | uvira 🇨🇩 :
nihatari
2026-08-01 06:27:07
0
britonkanumba
Briton Kanumba G.O.T :
Nakuja hata kwa ajili ya scene moja
2025-09-27 18:55:50
1
pst.manonga
Manonga Classic :
Tatizo hamjazoea kufokeana Pasta ndio maana Sean inakuwa ngumu kwa mama 😂
2025-09-28 06:47:21
1
nurumsigala131
poena@ :
jamn mimi najiunga hiyo application inagoma naandika jina then email then password ka5kin inakataa please nisaidien mfano wake namna ya kujiunga
2025-09-27 20:31:28
0
nuru5782
Nuru🥰 :
ipo youtube kwan jmn nimeisubiria sanaa
2025-09-27 17:53:50
1
kunda8502
kunda :
Kama hutaki kucheka, angalia kwakichwa juu ya nyele.
2025-09-27 21:38:16
2
janethzumba6
janethzumba6 :
Wangapi tumecheka kwa sauti
2025-09-27 20:10:39
12
lunaocouture2
LUNA COUTURE 👑 :
sijui kwann wakati wa usurious kipepo cha kucheka kinakujagaa🤣🤣
2025-09-27 20:52:58
2
jom3009
Mr. JOM :
No one is talking about the beautifulness of the lady
2025-09-27 19:08:19
1
kaka.kiula
𝗞𝗮𝗸𝗮 𝗞𝗶𝘂𝗹𝗮 :
𝗠𝘆𝗮𝗺𝗯𝗮 𝗻𝗮𝗸𝘂𝗸𝘂𝗯𝗮𝗹𝗶 𝘀𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝘂𝗻𝗮𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗳𝗮𝗻𝘆𝗮 𝗺𝗽𝗮𝗻𝗴𝗼 𝘂𝗺𝗿𝗶𝘁𝗵𝗶 𝗞𝗔𝗡𝗨𝗠𝗕𝗔
2025-09-29 18:33:31
1
medardissa3
MEDARD A. ISSA :
🤣🤣🤣 siyo mchezo kuigiza ngumu
2025-09-27 18:58:26
2
wabanze.john
JOHN=WA BANZE :
MZEE pasta unanza ma films kumbuka kanumba
2025-09-27 21:23:55
2
bluemstore7
Blue M Store :
Good actor
2025-09-29 09:39:24
1
mordekay63
mordekay :
ongela sana
2025-12-11 03:23:27
0
user41384747
🦋Tynee🍒🇰🇪🇱🇷 :
mm nitacheka siwez kuact🤣🤣🤣
2025-09-27 19:50:44
1
yasintamafondi4
yasintamafondi378 :
Pastor Myamba na mimi naomba nafasi
2025-09-27 18:02:24
0
imgrateful068
Cesar Martin :
Napenda sana filamu zenu ziko na mafunzo mazuri sana👌👌👌👌
2025-12-08 13:03:55
0
user2619562946533
léon banza :
i make long Time
2025-12-03 19:53:20
0
user744821187223
Sylvain moponda :
amina rdc congo tanzania🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
2026-05-12 01:17:48
0
us0860921516
ushind katambo :
suite
2025-12-09 08:41:25
0
user5490505770287
@jeremie aganzejeremie :
mungu nimukuuuuu
2025-12-07 14:23:59
0
user3679445859453
Albérick :
pastor
2025-12-11 22:57:42
0
agri_mbuya
surf@cembuya31070094247722 :
It's not really easy to do a shoot, hats off to you, fane kutoka congo🇨🇩🥰✊️🤗👌🤝
2025-09-27 18:59:56
0
To see more videos from user @officialpastormyamba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About