sasa ww unafananisha pesa na kutongoza acha usenge
2025-09-29 13:13:52
9
Will wonder :
mteja sio mfalme hii ni hoja za kizamani kasome vitabu😅
2025-10-05 14:19:57
5
J - Grg :
true wew jifanye uko serious na maisha hupati hayo maisha
2025-09-28 15:31:21
16
SMGFAMILY ✅ :
pesa inahitaji kuforce Ili upate .. Dunia inakasi sana
2025-09-29 08:31:32
6
Bhermeti6 :
Acha kupotosha watu bana wezi tu kumiliki kitu ukiwa lege leg napia kam utakua huna uwitajiwako uimara na usubutu wakukichangamkia kile unacho kitafuta kitakua nimwanzo mzuri wawew kufikia maleo pambana lazimisha kilw unacho hitaji kwa moyo utafanikiwa usijifanye ukitaki kitu unacho kihitaji utapoyeza muda zaid kuliko kujifanya amka ukiwa na uhitaji wakutaka nakupat ✊🏾
2025-09-29 09:11:49
5
user1176268104611 salim :
kweli bro
2025-09-28 10:08:05
23
user2147781470245 :
sahihi
2025-11-12 09:27:28
1
young kc :
kaka unajua
2025-10-12 21:19:07
2
Method kifoka Method kifoka 82 :
hiyo ipo sana, nimejionea nikiwa mgodini, walevi wanapiga sana pesa, lakini ukienda na malengo yako kwamba nikipata pesa nikajenge, utachimba hadi ufe
2025-10-09 10:44:57
4
Jackie💛 :
Pesa haina formula za ivo😂😂
2025-09-29 10:09:11
5
Pella mr tam :
fct
2025-11-14 23:31:58
1
Mamy :
Hii naijua kabisaa Pesa jinsi unavyoitaka ndivyo inavyokukimbia
2025-09-28 17:09:14
5
MARRY JOSEPH :
kweli kaka mm nikitaka Hela kwa haraka sipati lakini nisipo taka napata
2025-09-28 14:32:44
9
Selina Sichela :
🤣🤣🤣🤣 kweli
2025-09-30 13:23:51
1
user3695144092004 :
Mwalm mtaalam w wataalam
2025-09-28 10:47:33
6
Prince kabus :
thanks kwa elimu zuri brother tuko pamoja
2025-09-28 10:08:27
9
matala :
hyo speeche kwa wenye akili tunakubaliana na wewe 100%
2025-10-02 08:24:05
4
adisonpatrick337 :
bro umeongea ukweli kama sisi wa biashara ya forex ukiwa na tamaa na usipokubali kupoteza kidogo lazima uchome account
2025-09-29 18:11:53
2
Sijah :
Hata ukiwa unahitaji sana mume huwezi kumpata watakuja lakini hatahawakuoi🤣
2025-09-30 07:01:37
2
Director WM :
sure
2025-09-30 06:07:17
2
Shabo :
Pesa inaenda kwa watu wasio na papala nayo lakn siyo wasio itaka maana kila mtu anaitka pesa kaka
2025-10-05 19:30:51
2
Julius Mantai :
uko xwa kabisa
2025-09-30 07:42:45
1
Romeni John, Dalali 0624966160 :
Ni kweli
2025-09-30 15:00:24
1
😅😆🫣🤑🤗💕💚💙 :
nimejifunza kitu
2025-09-28 19:42:21
3
To see more videos from user @mwl_wa_wataalam, please go to the Tikwm
homepage.