@binti_waamani: Maumivu ni zawadi kwani Inatoa maana na hatimaye inakufanya uwe na nguvu Zaidi na kama ulikuwa hujui Njia ya amani ya ndani ni chungu lakini inafaa, nikwambie tu usikimbie hayo maumivu yaruhusu kwani ndo sababu ya uimara wako na kuwa jasiri Zaidi #kilichoborakabisa #channeltenplus #channelten #azamtv #bbcswahili #newstyle #habari #habarimaelezo #kazinaututunasongambele
luluAlly
Region: TZ
Sunday 28 September 2025 18:37:11 GMT
Music
Download
Comments
Bush man :
huyu ndo huwa ananifanya nifatilie Chanel ten
2025-09-29 06:51:06
24
Carlos max cilianos :
hee maumivu ni zawadi bila package 😂
2025-09-28 19:04:06
3
Abdikadir Dida :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰shukran
2025-09-28 18:58:33
2
vampire smart boy :
mungu alikupa kipaji lakini ulikuwa unapoteza mda tawheed 😃😃😃😃😃mungu akubariki kijana wangu 😃😃😃
2025-09-29 09:14:25
2
mpemba 8 :
kwani kukutongoza muandishi wa habari Bei gan jaman🤣🤣🙈
2025-09-29 18:00:36
1
Ibrahim :
ww hujaelewa kwani 😃😃
2025-09-28 19:49:23
1
Mr, unguja :
Mmmhhhh
2025-10-02 19:49:34
1
hizza JR :
nakukubali sana bidada🥰🥰
2025-09-28 20:17:24
1
DOCTOR SIMBA :
umeolewa
2026-05-04 18:34:16
0
Tom D official :
Afu kwel ujue 😳
2026-04-10 22:29:37
1
the Dj chef. :
follow me on the dj chef
2026-03-23 18:00:34
0
Ally Kindi :
mungu akubarki sana
2025-09-29 16:08:56
1
shantobrownTz :
navompenda huyu dada☺️☺️☺️☺️☺️☺️
2025-12-04 13:17:57
0
RK :
dah unajua Dada 😅😅😅
2025-09-28 20:46:39
1
@MR.LOYSON🇹🇿 :
maumivu ni zawadi lakini zawadi hiyo usiipokee mara mbili
2025-12-07 20:11:00
0
@bdulikreem :
wachahe we kuelewa
2025-09-28 21:52:32
0
Mtiga jr.....(Teamwork 💪🏼 :
manshaallah 🫶
2025-12-07 06:42:44
0
MR.ADVISOR#003 :
MashaAllah 🙏😊
2025-10-27 07:15:11
1
vinico57 :
we nikiokota helaaa naoa hata kam ukizeek🤣🤣
2025-10-26 09:27:38
0
iddi88jana :
kabisa
2025-10-20 04:41:15
0
Ramadhan 004 :
TV gan hiii kwan
2025-11-06 12:49:54
0
NDEGE JR :
umenitia moyo sana 🫂
2026-01-27 13:19:26
0
Ramax Madebe :
Nakupenda sana bint Ally💖
2025-11-21 05:00:23
0
Osman Thomson Moshi :
Ujumbe mzuri mno 🙏🙏
2025-11-20 21:45:22
0
sweettbeth :
Favourite girl 🥰
2025-09-28 21:55:39
0
To see more videos from user @binti_waamani, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.