@macho_media_onlinetv: MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM NDUGU SAMIA SULUHU HASSAN AKIOMBA KURA NA KUWAOMBEA WAGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE NA BAGAMOYO NA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUPIGA KURA OKTOBA 29, 2025. #tiktoktanzania #tiktokkenya🇰🇪 #machomediaonlinetv #MachoKuona #MachoTheAlbum
MACHO MEDIA
Region: TZ
Sunday 28 September 2025 20:52:18 GMT
Music
Download
Comments
Manzi J :
Hajakosea maana Mbuge ni mwakilishi wa wananchi so yeye ni mgombea ubunge nafasi ya uraisi ✅ ✅
2025-09-29 20:46:44
2
saidi Abasi mshana :
wee mbona kitambooo tuu ushashiinda bado kuapishwa tuu mueshimiwaaa
2025-09-29 11:53:30
1
Denge :
mkimwaisha mapema atapona🤣🤣 mgombea ubunge nafasi ya urais tena🤣🤣🤣🤣
2025-09-29 05:41:26
16
isaka tz :
😁😁😁sawa mgombea ubunge wa nafasi ya ulaisi 🤣🤣🤣🤣 mh iki cheo ndoleo nakiskia tangu nizariwe mama Sasa anaanza kuchanganikiwa jamani tumuombe tu
2025-09-29 07:30:23
8
Saidi Litimba :
mbunge au raisi?
2025-09-29 06:02:34
2
Lujani Numa :
nasema mkiniona napga kura mniite mbwa niko pale nimekaa
2025-09-29 11:29:06
5
MWALIMU WA ZAMU :
Kumbe anagombea Ubunge
2025-09-29 12:14:10
2
majuale🇹🇿🇹🇿🇮🇱🇮🇱🇮🇱 :
Mbona hajatushawishi, amefanya Nini miaka mitano iliyopita na atafanua nini miaka mitano ijayo. Hivi jamani kura ndio zinaombwa hivi?
2025-09-29 12:04:54
2
paulo jozeph :
toa ujinga wako hapa ngombe wewe pamoja na ngikwete wako man.gaa mjinga sana
2025-09-29 17:39:14
1
Mtaalam tzⓂ️ :
Nywi nywi nywi nywa nywa nywa😂
2025-09-29 05:57:40
3
Rc7 ndananda :
😂😂 baloz magetoni uje na no reform no election tofaut na hapo kimekulamba
2025-09-29 11:24:13
3
Ernest Mpira :
Du kuchanganyikiwa ni rahisi sana kama mpaka Rais anachanganyikiwa mm ni nani 😂😂😂😂
2025-09-29 11:38:51
3
user36209402488255 :
ole wako baloz utakeykuja kunigongea utafuran😡😡
2025-09-29 05:59:41
4
jonathanjohn8743 :
muheshiwa umesemaje hapo
2025-09-29 09:00:59
3
Vanypesa Kanyambo :
dixhi kweli
2025-09-29 11:26:34
2
Ellyhussen :
Uwezi kosea hivi nisi kusapoti weeeh maskia raha sana kuona chchm ina feli binti kiziwi jitambue
2025-09-29 12:17:46
1
user9026705325761 :
mgombea ubunge wa urais🤣🤣🤣
2025-09-29 12:21:43
4
RAJAB... MAGUFULI :
naubunge anataka kweli kichwa kimepata moto
2025-09-29 06:31:34
3
Goodluck Laurent :
muliamua kumuuwa magufuri ili mujitawale,but Mungu anawaona
2025-09-29 07:23:23
2
Moze :
kichwa maji hiki
2025-09-29 07:53:51
2
jbrvavo :
Ubunge nafasi ya uraisi😁😁
2025-09-29 02:07:30
2
user782540172653 :
Duh... mbunge tena
2025-09-29 06:46:51
2
Agray :
had uyo dada nyuma yake kashtuka
2025-10-01 05:33:49
0
Jamaicazoemmason :
kweli Hii bongo hatari anataka ubunge na uraisi
2025-09-29 06:21:24
1
syolaaggrey39 :
nini nimesikia hapa
2025-09-29 06:46:59
1
To see more videos from user @macho_media_onlinetv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.