wanaomkubaliii huyu broo tujuane na kwa like 20/20😳😳😳
2025-09-29 17:55:51
386
chiefgodlovetycoon :
Hakuna mwanamke mjinga duniani
2025-10-02 17:43:43
48
Precious ❤️❤️ :
guys nimetoka kumuambia tuachane saa hz I mean now😭😭😭
2025-09-29 20:35:27
55
pretty 💞🦋 :
Nimemvumilia sana na maneno yake ya dharau na kejeli yote nimeyavumilia lakini sasa natamani sikumoja niamke nijikute simpendi tena Wala simuwazi kwasababu upendo wangu ndiyo umefanya mpaka ananiambiya maneno ya kejeli 😭
2025-09-29 17:15:42
60
lizzy :
Nimesha choka hp nilipo na muwekea sumu pumbavu uyu
2025-09-29 11:17:54
31
@itzz_Neeh💜 :
ngoja nim tag kabisa mambo yasiwe mengi 🤣🤣🤣
2025-09-29 09:29:39
26
Ramrita :
Huwezi ongea ukweli unaoumiza halafu niache kulike 😒
2025-10-01 15:38:28
10
Judith Mrema :
Pls naomba kukujua zaidi. Nikupatie zawadi, maana umenigusa🙌🏻
2025-09-29 05:15:43
19
Winlissa :
Uyu wangu anakichwaaa kikubwaaa jmn 😏
2025-09-29 19:20:16
9
sparky 💫 :
Bro nakuheart 🫶 sana apo umenena👌
2025-10-02 07:58:17
6
Shon Lux Hub :
Anachokisema huyuu kakaa ni kwelii mwanamkee ni mtu mbyaaa wanaume hawaoni ndani kam tuliweza kuongea na nyokaa basi akuna kinachotushinda ni mudaa tu
2025-09-29 15:47:56
18
mummy's dotas ❤️ :
ukwel brother unavumilia mwanaume n yeye ako n sidechic siku ukiamua kutoka ndio anakuona ulikuwa wa maan🙏
2025-09-29 09:27:14
17
Mr:mind :
POINT ZA KUTOSHA KUTOKA KWA MASTER CHIEF GODLOVE
2025-09-29 00:42:53
24
🌸Mmbone🌹 :
aliacha mipango ya kununua kenya akakua motivational speaker........😂 ......bravo chief
2025-09-29 20:39:18
8
God's favorite 💃💃 :
Very true,na huyo mvumilivu ni ngumu kumpata
2025-10-01 20:52:09
8
Mrs Tony :
nilivumilia Kwa miaka nane nikiondok na Rudi akajua ten siku niliyoondok ningerud kumbe moy Wang ulishakuf Ganz nilichoondok nacho kwake. ni mtoto Wang tu bas na paka Leo ajawh isikia saut ya mwanang nimempat anayemjal kulik hata yey mweny mtoto Mungu anitunzie huyu japo niliyopitia kwake yameniachia maarifa 👌👌🙏🥰
2025-10-01 09:04:09
6
Diva’s winy :
Aliniambiya simpendi mutu nikapotezea nikamkuta tchumbani na mwanamke mwengine akaniomba msamaha nikamsamehe haikutocha akani cheat na marafiki zangu wa wili nikasamehe na bado niko naye nitatoa wapi nguvu ya kumuatcha😭 nampenda sana
2025-09-29 11:03:32
24
jeennas_beautystore :
Duh nimependa mwisho hata kama ana kichwa hiko kikubwa kipana lols 😂😂😂 waaaahh
2025-09-29 15:37:10
7
val1990 :
mafuta comment ya mwanaume
2025-09-29 17:51:13
7
Serhaworld🦋 :
I choosen my self
2025-09-29 22:30:33
5
it's-Chinunu🧕💝 :
Exactly bro👏👏
2025-09-29 12:08:30
5
SHAZMENA BEAUTY :
AMEKUWA NA AKILI SIKU IZI CHIEF UMEANZA KUPENDWA SASA HONGERA🥰
2025-09-29 07:34:52
11
She Z Curl 💃 :
Facts💯🥰
2025-09-29 11:44:22
6
tovern dee :
am that woman n I walked out on Saturday 😔😭
2025-09-30 11:59:29
5
To see more videos from user @chiefgodlovetycoon, please go to the Tikwm
homepage.