@mogeniezekiel: We all love such priests😅 #catholic #catholicchurch #catholicism #catholicsongs #catholictiktok

Ezie🇰🇪
Ezie🇰🇪
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 29 September 2025 10:10:00 GMT
59934
2738
103
50

Music

Download

Comments

ritalee94
Rita Lee :
wetu amekaa tangu 1990😂
2025-09-30 07:24:22
7
shikondungu
user8290277481805 :
aki Fr. Jude alikaa tu mwaka Moja then boom ashapewa transfer
2025-09-30 09:59:50
7
sifa.augustine.k7
SIFA MMOJA 🇰🇪 :
Bishops wakishirikiana na Chairpersons wa Churches Wanaeka kikao na kumwondoa haraka sana .
2025-09-30 14:43:49
7
bakhitafabians
Bakhita Fabians :
Kuna wengine wantam🥴
2025-09-29 14:02:13
24
benhandieqamaa
benhandieqamaa :
🤣🤣🤣wakubwa wanajuanga wamama wa CWA watajaribu kumpea kasusu
2025-10-01 05:12:10
1
geraldokoth_gerorganist
geraldokoth :
Hao wazuri ndio hawakai sana. 😂wale hawapeani chance ya kuimba thanksgiving song wanakaa 5+ years. 😂
2025-09-30 05:41:02
3
lucieteddy7
Lucie :
Hakuna mwaka transfers zimeniumiza kama 2025,all my favourites gooone!!! n
2025-09-30 11:45:19
1
marble1998
@marble1998 :
na kwani sisi tuko na mgani ashakaa 3years ataenda lini😭😭😭😭
2025-09-29 18:39:19
6
mwendawakubsi26
Mwenda kubai :
wetu ni missionaries na hua wanakaa 6yrs
2025-09-29 15:06:11
3
stecy_paul
Stecy :
aki this is our priest he got transferred very fast it was so emotional to an extent the parish council had to go beg the bishop for that transfer😁
2025-09-30 06:09:21
2
janenjeri1265
Jane Njeri56 :
karibu nitag wetu fr mburu🤣🤣
2025-09-29 17:11:36
3
emma.kaaria
Emma kaaria :
halafu Kuna huyu wetu,fungu LA kumi anateta
2025-09-30 15:56:44
1
0912muthonimaina
MUTHONI💫✨ :
ukweli hakaangi😂
2025-09-29 10:13:59
3
am_misshis
Nekesa :
The accuracy...halafu shukrani ni kudance kumba and he dances ... especially youth Masses..anaelewa youths PMC YCA CMAK CWAK and everyone at their levels
2025-09-29 16:06:31
7
dont.try.me615
Don't Try Me :
Huyu wetu atapewa transfer lini😏😏
2025-09-29 14:29:24
1
governorwetu
GovernorWetu🇰🇪 :
aki huyo hakaangi😂😂😂😂
2025-09-29 13:07:43
9
100kilos2
Its Joy❤️❤️ :
ukweli kabisaaaaaaaa,
2025-10-01 08:36:10
1
josenjoro456
Jose njoro :
🤣🤣🤣aki kuna muingine tulikuwa nayeye tukiwa na event na family day ya parish anambia bishop afanye haraka tuko jaa 🤣🤣🤣na tulikuwa tunabeba na Gari yake masufuria hakumaliza 2yrs tukambiwa anetumwa Italy 💔💔💔
2025-09-29 15:41:33
2
perpetuawahu
perpetua wahu :
😂😂😂😂😂😂😂😂so true
2025-09-30 12:23:41
2
thelyon31code
Thelyon 31 code :
🤣🤣🤣 kama wetu tu 🤣🤣🤣
2025-09-30 12:18:42
2
vallary45
Apeliso :
Kwanza wetu St Arnold Jaseen Komarock nampenda sana
2025-09-30 16:10:41
1
alexine39
Alexine ❤️❤️ :
Fr.ingnitius kipchirchir ako us🥰🥰🥰🥰🥰,kapsabet Diocese wanakumiss
2025-09-29 19:23:12
0
user39823758503333
faitrizahmzoh :
I thought ni sirima parish,ju huko Kuna mzungu na amekaa sana pia,@
2025-09-30 13:40:44
1
user5470994079074
user5470994079074 :
kwa maoni yangu sio mbaya anangalia tyme ya next mass,,,ebu enda kwa kanisa zenye utapata wako na mass nne uone vle kinakuaga
2025-09-30 09:18:59
2
johnson_johnson__
johnsonjohnson :
umejuaje🤣
2025-09-29 15:26:01
1
To see more videos from user @mogeniezekiel, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About