@dr.jessy09: Mazoezi kwa mtoto#500kviews #trendingnow #trendingnow #pregnancy #storytime

Dr Jessy
Dr Jessy
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 29 September 2025 10:39:37 GMT
222795
6547
196
1077

Music

Download

Comments

puritywanjala948
purie vazzy :
you came at the right time ☺
2025-09-29 10:55:52
13
pipoyumeino
Luciana :
mtoto wang nikimnyonyesha uku nimelala nae ubavu maziwa yanatokea puani shida nin au niache uvivu nimnyonyeshe uku nimekaa tu??
2025-09-29 19:29:13
9
conspicuous03
conspicuous03 :
dct mwanang wakati wa usiku anataka kunyonya tyu chuchu isitoke mdomoni au asikie mda wote harufu yangu kanalala nkiinuka hta kukojoa kilio yanii ananyonya hadi naamka usiku kula ni kakiume je kuna shida yoyote
2025-09-29 14:37:44
12
christina.aziza
Christine :
Asante sana doc
2025-10-01 16:29:59
1
toujoursmamalegrand
Toujours Mama Legrand ✊ :
Nikweli dada mim silali kabisa nina mwezi sasa
2025-10-05 22:12:09
1
warda_litinji
warda :
doctor mm mtoto wangu choo anapata kwa shida ana kaa ata wiki 1 ila anajamba nayanuka atari
2025-09-29 18:24:40
2
ciscojunior1
user8089668823157 :
dct mwanangu anajamba kama mkubwa yani vitoa sauti kunashida au nikawaida ana miezi 3
2025-09-29 11:59:52
1
leoncia036
leoncia :
yaan mm had gripe water haikusaidia nakesha mpk asubuhi asante 🙏
2025-10-01 08:50:56
2
user7984928341583
official j :
doctor me mwanangu anakua anaumwa oma mala kwa mala anamwez mmoja n siku kumi na saba
2025-09-29 10:45:49
1
mtotozay25
mtotozay25 :
Docta ninawik ya pili sasa tangu nimejifungua lakini nyonga zinanisua sana nimenunua dawa aina ya weltek fuljoit je inamazala kwa mtoto akinyonya
2025-09-29 14:53:26
0
kidoutydaprety1
Kidouty Da pretty❤️ :
mwanangu anatoa kimlio ata.sikielew jmn
2025-09-29 11:55:15
2
user67981323967533
smoochie sassy :
dr kwani ni wangu anahara kila time amemaliza kunyonya
2025-10-24 09:09:25
0
babynaah4
babynaah🦋 :
Dr jessy mmejifnguaa mtoto wakikee lkin hawez kunyonyaa chuchu zngu ndogoo zinamponyokaa nakamuaa ty nachokaaa nifanyee kitu gan mwanangu anyonyeer
2025-09-29 17:40:24
1
prisca58282416
prisca morris :
mamb vp dad mm nachida ya kupata maziwa nimejifunga sin maziwa ya kutosha mm nahitwa pirisca
2025-09-29 11:02:23
1
queen_lyne1
liyne :
Dr nitakuletea mwanangu unilelee mpaka avuke kipindi Cha uchanga 😂 khaa kulala hakuna jamani
2025-10-26 05:26:42
0
missarshayna
Arshayna :
nimejifungua tar26 lkn leo nimeenda hospital mtoto angu anamanjano je yanatokana na nini
2025-09-30 18:00:17
0
user20495531999003
Da kidoti msusi💋 :
Doctor samahan mm mwanangu ana utandu mweupee Kwenye ulimi jee unatokaje??
2025-09-30 03:44:11
1
jacklinekateme
Rahabu mwalukasa🇹🇿🇹🇿 :
ila nguo za huyo mdoli nimezitaman
2025-10-29 05:17:31
2
ranmsvqdxpa
ranmsigwa :
mm wakwangu anamwaka ila anasumbuliwa sana na gues
2025-09-29 13:09:29
1
annie_empire10
Momy Ash💙💙 :
Hi mumy. Nimekufatilia toka Niko na mimba ya miez me ad sai nimejifungua Niko n 2weeks. Kuishi maisha marefu.
2025-09-29 14:45:13
1
missfetty255
Missfetty :
🥰🥰🥰🥰 Thanks unatusaidia sana
2025-09-29 10:52:28
1
ishimwehossy
Hossy makeup 💄 art :
Asante saan umenisaidia saan🙏💯
2025-09-29 13:18:21
1
stellah.thomas28
Stellah Thomas :
hahaha baby girl aise dr umenifurahisha tuy.
2025-09-29 11:34:05
1
queenarapsa
Queen ara♥️ :
asante sana doctor nimejaribu kufany hv ame puu mapupu mengi kweli
2026-08-30 14:42:42
0
ninno272
ninno272 :
D R mwanangu anasusumbua sana kula najitahidi kumbadilishia mlo lakini hataki lakini vyakula vya watu wazima anakula mpka basi
2025-09-29 13:43:46
0
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About