sasa unafanyanini hapo siuondoke ueede kwawakweli?
2025-09-30 11:06:21
1
123457 :
kanisa ni kiwanda chakumtengeneza mtu
2025-09-30 11:21:41
2
mildredubwiru :
Mimi pia nilijua hivio Hadi last year nikajionea kwa macho na hii mwaka Hadi siamini
2025-09-30 11:59:52
2
STEPHEN KASOLO :
So ukiisema public inadhani wale wako pale duniani watatamani Kanisa?💔💔
2025-10-01 19:27:50
1
Fredrick N.O :
wacha ngano na magugu zimee pamoja siku ya Mungu they will be separated
2025-09-30 07:43:44
8
Nang'imor :
ni ukweli lakini yesu aliwaita wote na yesu akasema nimekuja kwa ajili ya watenda dhambi akuwaita wazuritu pekee.Jua ya kwamba kanisani Iko changanyiko ya watu.
2025-09-29 19:50:37
13
simba yuda :
pia KASONGO wenu Ako hapo 🤝
2025-09-30 06:05:29
5
Julieth samson..kemmyjulieth :
simba hawindi kundi la simba wenzie....asomae na elewe
2025-09-30 09:05:16
3
jacky ayuma :
imagine she is very right,too sad😢😢 people need to change for real
2025-09-30 09:09:39
7
macrina :
Popote panawezakuwa salama au hatarishi it depends on who are you associate with in a group🤔🤔🤔.
2025-09-30 14:56:20
2
Tabitha Mkila :
nikwel kabisaaa
2025-09-30 13:55:59
2
victor osiemo :
shiru wa Oakland umeskia
2025-09-30 08:25:00
3
linamgassagmailco :
Anayekusaudia kwenda mbiguni ni Yesu! sio mwanadamu! hukumbuki Yuda alimsaliti Yesu! na Yesu alikuja kwa hao!
Na wewe pia ni msaliti wa Yesu unakatusha watu kuja kwa Yesu! ulipaswa uwasidie hao unaowasema! hata wewe ni mvunja moyo!
2025-09-30 08:27:38
4
*Richkidnash# *Richkidnash# :
Acheni magugu na ngano sikue pamoja,, (Jesus said )
2025-10-01 04:30:25
2
Benedict :
amen ni kweli
2025-09-30 15:15:30
3
vy :
kweli kabisaa
2025-09-30 12:03:52
2
improvement not perfectionist :
wanakuja ndio warekebike kwa kuomba msamaha maandiko inasema jua inawakia kila mtu mchawi msinzi etc......thats why kuna kipindi cha ushuhuda
2025-09-30 04:42:29
3
nzeyimana annick :
kweli
2025-09-30 10:50:12
1
dj Plsamyist :
hata nimetokwa na machozi
2025-09-30 06:37:52
2
user748130108355 :
kavuwe maheleni Yako Ujaokoka
2025-09-30 13:14:45
1
zuwena🥰🥰 :
kwer kabisa mama ungu wamejakanisani weng watendamaovu weng
2025-09-30 07:05:38
1
Minja :
🤣🤣🤣🤣umesahau wachawi
2025-09-30 08:33:40
1
Esperence Alirac :
amen
2025-09-30 11:42:25
1
Shanizbibiye583 :
exactly mum..wameja kanisani na wanafanya tutoke kwa kanisa yawa
2025-09-30 11:30:18
1
To see more videos from user @shinemediaafrica, please go to the Tikwm
homepage.