Kuna muda watu mnamulaumu huyu MC ila anatukumbusha tusikae tukajisahau Maan hujui ni Muda gan na ww zamu Yako itafika Jaman tumrudie Muumba hii Leo ni siku ya mwenzetu kesho ni zamu yangu au Yako je ikikukuta Kwa hali uliyo nayo itakuwa je Jamn tutubu maovu yetu, pole pia Bibi yangu Mungu akutie Nguvu katka Mapito hayo🙏🙏
2025-10-01 13:00:16
24
love bby 💯🖤❤️🩶 :
kunamuda sitaki hata kuona video kama hizi but Sina budi mwanzo nikikumbuka mamangu aliniacha mapema kama bado na muhitaji na yeye pia alikua mudongo ndio nalia kila siku kwa nn kifo mutu ana Lea mwanawe wakati wakumusaidia ana kufaa😭😭😭😭😭😭 mungu walaze mahali pema wote walio tangulia na ss tulio Hai tulinde munguwangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2025-09-29 18:27:26
18
mayi wa choffuri :
surely kifo ingelikuwa unabadilisha huyu mama angeenda mtoto wake amzike ts so so painful for parents to bury their kids my bro passed it was tough on mum n dad mum passed n when my little siz died dad lost it mpaka akafa pia😭😭🫂🫂
2025-10-12 05:27:01
7
Woppa :
poleni sana 😭😭😭
2025-10-01 08:16:49
3
Monje064 :
😫😫😫 this hurts deep
2025-09-29 18:08:42
3
aisha mamuu :
pole sana nyanya
2026-01-13 08:20:02
1
mrembo wa mwenye :
pole sana nyanya Mungu akupe nguvu 🫂
2025-10-08 12:39:51
3
✨💫🇰🇪fĺàgʻ💜💫✨ :
eeee mungu wangu naomba haya machungu yasimpate mama yangu mana Mimi ndio tegeneo lake kwa sasa🥹💔😭🙏🙏🙌
2025-10-06 16:43:45
3
Beaut Jay :
😭😭😭😭 poleni sana Mungu watie nguvu
2025-09-30 10:48:24
2
tiffah123 :
😭😭😭lord don't allow our parents to burry us🙏🙏
2025-09-30 04:31:49
2
Mwaka665 :
that's really sad 😔 😭😭mwenyezi Mungu aturehemu
2025-09-29 18:05:38
6
user9282178863390 :
poleni sana familia
2025-09-30 20:41:22
1
user9718256729104 :
sorry
2025-09-30 15:19:10
1
preety lydiah 2 :
so painful
2025-09-30 09:20:34
1
Josephine 🇰🇪🇯🇴🇸🇦 :
😭😭😭😭 aky inauma sana
2025-10-02 18:06:16
1
zey kombe 🇰🇪 🇴🇲 :
mc chengo kuna muda inabidi utupumzishe 😭😭
2025-09-30 16:01:35
2
ninnahbell :
sorry
2025-09-30 05:23:43
1
💯💝official winnie💝💝 :
inauma lkn n mipango ya mungu😭😭😭kifo kisikie kwa mwenzako
2025-11-06 06:32:42
1
R.G🚴♀️ 🇰🇪 :
pole sana 😢 😞 jaman
2025-09-29 19:34:03
1
Kadzo mudzo kipenzi cha wote :
familiya ya kwa karisa wa pande hii wawe pole sana
2025-09-29 18:48:58
2
Mary mangi :
So painful 😭😭😭😭😭
2025-09-29 22:19:09
1
𝙈𝙊𝙈𝙈𝙔 𝙏𝙍𝙄𝙕𝘼𝙍 ❤️💫 :
Familia iwe pole😭😭
2025-09-30 21:43:53
1
lilyan :
sorry for the loss
2025-09-30 11:45:49
1
🦋RIHANAH🦋 :
Poleni😭😭😭
2025-09-29 22:00:22
1
ka✨☀️ Nurah 🥰🛀🌾 :
another day crying with strangers 😭😭😭😭😭
2025-09-29 20:39:32
1
To see more videos from user @mc_chengo, please go to the Tikwm
homepage.