@mwl.emilian.katub7: Nenda katengeneze na mke wako.

Mwl Emilian Katubayemo
Mwl Emilian Katubayemo
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 September 2025 04:01:07 GMT
1854030
77388
2569
33956

Music

Download

Comments

kisialipalyvin
💋min malesi💋💋💋 :
wangu anasemaga mamake ndio ua anamuombea yangu ni ujinga tu
2025-09-30 07:01:23
271
zimba_mbe
Zimba Electronics :
uzuri nikikosa tunalala wote njaa😆😆
2025-09-30 06:58:58
170
rosenanjalakhisa
mluhya Mpenda Bidii :
wangu penye ako naomba Mungu uteseke hadi kifo chako, uwezi tupa watoto wako upende watoto wenye si wako 😭💔
2025-09-30 07:38:10
99
laydgirlcute3
Beauty lady :
Pastor🤣bwanangu ni 1 mint man🥺🥺🥺nimchit ama nivumilie😭😭😭😭😭😭😂🤣
2025-09-30 22:23:59
20
brandons122
brandonly :
true wife is a blessing i have a testimony 🙏
2025-09-30 13:48:40
89
utatu06
lady of christ :
anakupeleka out alafu yupo biz na kuchekacheka na wahudumu na kuwauliza shift zao,ngachoka bora nibaki kusugua ukuta wa nyumba yangu upendeze
2025-09-30 08:26:05
19
mercytripple
mercytripple :
Mm ata nataka kutoka kwa hii ndoa nmechoka ata miaka mbili haijaisha
2025-09-30 08:53:52
81
winnerzuber
win's sweet bites :
Thanks God .. he knows, and he respect ... ila dada, au wa mama wenzangu kufika level ya mume kuelewa wewe katika familia ni nani kipo kibarua , iPo kaz ya wewe mama kusimama sio kazi rahis ..kubali machozi, maumivu , anga kutoeleweka ila ukivumilia mpka mwisho utavuna mama mwenzangu
2025-09-30 08:03:31
27
anny84806
Anny :
anakwambia ww ni Mungu ndo unagawa riziki 😳😳
2025-09-30 18:43:43
17
agenda_rabia07
Agenda Rabia07 :
yaan wanaume hawajui kama kuna laana ya mke
2025-10-01 03:16:49
38
evansanyona
Evans Anyona :
Bro hizo vitu unaongea haziwezi tishia sisi, Kwani huyo bibi ni mungu? So tuabudu wanawake, Sindio? Kwenda uko mama boy wewe. Mwanamke mwenye nguvu peke yake kwa maisha yangu ni MAMA mzazi, Hizo zingine ni za kwenu labda .
2025-10-01 06:03:28
20
sarifusarifu
sarifusarifu :
wangu hajui hii😂😀
2025-09-30 18:45:17
12
julietshibira
julie :
mm nliambiwa tangu nkuje kwa maisha yake mambo yake haiendi vizuri
2025-09-30 18:06:32
14
jackhance2
jackhance :
Apatae mke mwema kajipatia kibaliiii
2025-10-20 18:36:06
6
user6152472493992
Juliana :
mtumishi ulikuwa wapi leo nimefurahi kukuona
2025-09-30 13:14:50
10
ondire.buoro0
ondire buoro :
baraka hutoka kwa baba mzazi sio viumbe zinatoa damu miezi kumi na miwili na haikufi
2025-10-02 04:28:18
5
slay.wa.daroh
A@K,#Afearny🥰💢🫶💫💯 :
l used to cry each and everyday,niliongea kwa iyo ndoa ,nlilalamika adi mwanaume akasema namlaani until l matched out akin ndoa zingine zinaitaji to neema ya bwana
2025-10-01 09:31:34
6
sukumacute
Mariecute :
Wengi wangejua hili wangefika mbali sanaaa, Mwanamke ana nafasi ya upendeleo sana mbele za Mungu ndo maan tuna kibali kikubwa sanaaa🙏
2025-09-30 07:08:32
10
sabby.james
Marcy Amadi :
mungu bariki my husband na umpe keep Bali in the name of Jesus 🙏🙏
2025-09-30 10:15:36
5
babyboy_428
Baby boy😍😍😍 :
Ameen🙏
2025-09-30 04:28:59
11
theodaqharo
theodaqharo :
natamani kamfikie ila hata elewa
2025-09-30 04:55:16
5
odinga830
odinga :
Kuna wengine tulikuwa a hela tulipo of tu basi😏
2025-09-30 04:44:42
10
zeniceb
user3812803007947 :
yaani mtumishi uko vizuri sana 🔥🔥🔥🔥🎉🎉🎉🎉🥰🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤
2025-09-30 13:01:25
5
marymfoi792
marymfoi792 :
😂😂😂waache kutoka na michepuko watoke na wake zao tena😂😂😂
2025-09-30 07:55:55
5
lameck.de.gea.g.k
Lameck "De Gea" G.K :
kupata huyo mke mwema pia si raisi 🙏but ni our wish kupata such women but hii generation imeoza si kama ya akina wazazi wetu...but this is wisdom
2025-09-30 14:19:36
6
To see more videos from user @mwl.emilian.katub7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About