@john_madeje: Watu wengi leo hawana focus. Wako mezani kula, lakini akili iko kazini. Wako kazini, akili iko kwenye mapenzi. Wako kwenye biashara, lakini kichwa kinajaa mawazo ya ajira au mambo ya kifamilia. Mwisho wake ni stress, kuchoka bila sababu na kushindwa kufanikisha jambo lolote kwa ubora. Hata kwenye biashara, wengi wanashindwa kufika mbali kwa sababu hawajifunzi kutulia na kufanya jambo moja kikamilifu. Wanatawanyika mawazo kila upande, matokeo yake wanajikuta wamechoka haraka lakini hawajapiga hatua. 👉 Siri ya mafanikio ni focus. Unapoweka akili yako yote kwenye jambo moja kwa wakati, matokeo huwa makubwa zaidi kuliko unavyotarajia. 🌱 Jifunze kuishi sasa, uwe focused sasa, ndipo utajenga kesho yenye nguvu na biashara imara. ✅ Tutaanza 1/10/2025 hadi 7/10/2025, nimeandaa mafunzo maalumu kwa waajiriwa wanaotaka kujifunza biashara. 📘 Wale watakaojiunga na mafunzo watapokea kitabu changu cha siri za waajiriwa bure, ili kujua zaidi jinsi ya kuanza na kukuza biashara bila kuacha ajira yako. 💻 Mafunzo yataendeshwa kupitia group, ukijifunza hatua kwa hatua na ukiwa na msaada wa moja kwa moja. Ada ya kuingia group: ✅ 28/09/2025, itapanda hadi Tsh 15,000 📣 Usikose! Watarifu watu wote unaowafahamu ni waajiriwa ili nao wapate nafasi hii ya kipekee ya kujifunza mwaka huu. 📲 Jinsi ya kuingia kwenye group: Andika neno MUAJIRIWA kwenda WhatsApp 0653993171 ili upate utaratibu zaidi. 🤝 Karibu mwajiriwa, ujikwamue na utengeneze mikondo mingine ya kipato nje ya ajira.

John Madeje
John Madeje
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 September 2025 19:10:03 GMT
615
33
4
1

Music

Download

Comments

kelvin_mveti
kelvin_Mveti :
Una inspire sana God bless u
2025-10-01 04:59:17
0
marthahomedecor2
MARTHA STORE DODOMA :
Mbona unanisema mm 🥹
2025-09-30 21:17:50
0
To see more videos from user @john_madeje, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About