@iroc.tv: Changamoto huwa hazidumu milele 💪 @scanda24 TUNE in Thursday at 11:30am on iRoc Networks youtube 📺 @scanda24 , @paulinmkama & @charles_matukio Cc @iroc.tv @nmbtanzania Sponsored by @johnniewalkerafrica 📍 @irental_s #BeMore #NmbKaribuYako #Thejunction #JohnnieWalkerTZ#tanzaniantiktok🇹🇿

iRoc Network
iRoc Network
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 01 October 2025 07:24:02 GMT
260360
16948
283
937

Music

Download

Comments

yusuphal_miskriy
i.am yousuph :
Kuna watu point tunajua ni kuamka usku na kumuomba mungu wengi hawaamin haya Mimi napata Kila kitu kutokana usiku Tu, Allah ndie mjuzi Ameen☺
2025-10-01 11:45:31
376
coolstar639
Dl mobile barbershop :
unalipa kodi kubwa sana plus na ada lkn unashndwa kujenga nyumba..nyumba ina umuhimu sana ukishajiona umeingia tu ktk mchakato wa kuwa na family huku kupanga kwa watu ambao hawana family ni sawa
2025-10-01 12:33:09
36
swahiligrim
Swahili Grim🇹🇿🗣👤👥🗣 :
Passing the same situation aisee duh. Pole kaka
2025-10-01 12:17:53
8
arafatmrj91
MRJ :
maisha magumu haya dumu, ila watu waliopitia magumu wao hudumu sana
2025-10-01 08:09:26
80
lllllll11001001hq11p0ikj
let's jd c :
hapo kwenye 80 ndo amerukaa ilikuwajee jomon mbn watu hawasemagii siri za utajiri mtu alikuwa ana hata mia duuh ndo huyu mungu ni wetu sote tuone na sisi eeh baba 80 na mimi itanitoshaa
2025-10-01 12:06:49
16
zx_simba3
Zx_Simba🦁 :
Huyu ndo Mungu tunae mjua sisi hakupi usiloweza beba. Mwenyezi Mungu mkubwa
2025-10-01 07:50:18
70
mussakisala6
mussakisala6 :
hii siku naikimbuka mm ndio nilikuwa boda alie ni bolt nakumbua safal iliishia apo akaamua kubolt bajaji na hela akunipa pale alinitumia badae yake duh pole sn kk
2025-10-02 20:29:16
11
wazza560
Official Conte :
Huy Jamaa nilimuomba intern akakubali WAKATI Yuko Ihefu bahati mbaya Jamaa timu ikauzwaaaa
2025-10-01 12:42:12
37
ms.gracierayie
Grace Raymond :
Restoration...God is good
2025-10-01 11:20:35
6
moudrickmulla
Moudrick mulla :
Hili la ukuu wa allah linaishi ndani yangu ever..🏆🏌🏽‍♂
2025-10-01 11:02:00
36
said_prince3
said forogojr :
jaman cc wote tunaujua ukubwa wa mungu n kaz zake lkn atupe mbinu million 80 for one weeek alipata kwa kufanya kaz gani
2025-10-01 10:17:20
23
www.fanboy2
imamu khalifa :
jamaa hana akili ya maisha kbsa mkimaind poa ila kwa maelezo yake hmn k2
2025-10-14 06:48:39
8
user5747262768766
user5747262768766 :
Allah ndio tajiri na ukimuomba hana hiana anakupa Allah hatengui ahadi yake ametuambia tumuombe na atatujibu subhaanallaah
2025-10-01 09:35:46
20
coachbabylon_
Phone magic :
hivi kwa nn podcast zetu nyingi huwa wanaalika celebrities au watu famous saaan? hamjifunzi kwa wenzetu sku moja moja mnachanganya hata normal people nao pia wana eza give what they have
2025-10-01 22:20:47
5
angaitv
ANGAI :
laki nane nausu kiwanja mzeeee bunyokwa🥰🥰
2025-10-01 10:37:07
8
hisnamekiko_16
kikoshila_16 :
Allah muweza wa kila kitu🙏
2025-10-01 12:06:10
10
kezadecollection0
Keza De Collection🛍✅️ :
Katika haya maishaaa unaweza kupitia wakati wa mateso kwa mwezi mzima ukajiona kama umepoteza kila kitu ila imani yako ikiwa mikononi mwa Mungu na ukayaweka maisha yako pamoja na imani yako huyu Mungu hautoacha kumuomba na kumuamini hata wakati pale asipokupa kila unachokiomba ilaaaaaaaa Mungu anajibu,Mungu hajawai kumuacha yoyote anaemuamini,anaemuita ndo maana hata yeye anasema nitafuteni na mtaniona 😭😭😭wakati ninapojiisi kuwa nimechoka,mm ni masikin,mm nipo peke angu uwa napenda sana kwenda katika hospital, nyumba za watoto yatima kila nikitizama wale watu unifanya mm niweze kuamka tena na kumwambia Mungu ikiwa mwanzo nilikuacha ninajilejesha tena mikononi mwako Baba usiniache,wala usiruhusu aibu,kilio,anguko ndani mwangu nyieee wakati wa Mungu ni sahihi sanaaaaa
2025-10-02 12:56:21
6
wazza560
Official Conte :
mola wako atakupa na utaridhikaa
2025-10-01 12:39:08
9
brownthe_incredible
Brown Williamson :
CEO muongo muongo sana
2025-10-01 17:29:04
7
majigo35
Nabil wa vanila :
Dah bro una ibada gani kubwa unaifanya mbona sie mungu hatuoni au anatuekea siku ya malipo mungu tuone na sisi japo kwa ibada zetu hafifu 😭😭
2025-10-01 20:38:58
4
msukuma_mwanza
Ellymodel_store :
usku wengine tunaamka kupiga nyeto badala ya maombi😂😂..sema maisha magumu hayadumu. Mungu mwema nyakati zote
2025-11-09 06:50:18
2
carlkeizzy
keizzy :
1. Imani kitu thabiti 2. kuna kauli aliitoa akiwa Minaki secondary kuwa yeye riziki yake ipo na haidhulumiki.
2025-10-07 09:26:50
2
simba_aluminium
simba_aluminium :
saw ila iz deal gan jaman watu wanapiga milion 80 kwa pamojaaaa😭😭😭😭
2025-10-01 11:40:30
2
uniforce_energies
Uniforce Energies LLC™ :
Mbona husemi 80m umepataje? 😁😁
2025-10-01 12:07:12
1
zahraally743
Zahra Ally :
nani aniandio uwo mstari jamani unapatikana ktk sura gani?
2025-10-04 10:46:03
1
To see more videos from user @iroc.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About