unampigia cm mtu kabeba zake cement unaanza kumuimbia, unakatiwa then akirud nymbn bonge la ngumi chini kanyaga kanyaga sikinya sikinya mbinguni ukaimbe na malaika🤣🤣🤣
2025-10-01 13:05:34
262
Eagle's power :
jina la Mov
2025-10-01 11:42:05
1
Young El Majid :
Mayatima wa mapenzi be like _ ☹️💔🤪
2025-10-01 11:40:22
327
Lee🤍 :
Walipatana madrasa hawa 😂
2025-10-01 21:31:28
1
E04 Mnzava🤲☝ :
kaka unasikia raha mwenyewe kuimbiwa🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2025-10-01 08:43:51
22
mwanawachovae :
Hapa ukiwa na Wivu utaona ni sifa😂😭
2025-10-01 16:00:49
56
Eve🥰😘 :
Haya mke mwenza unasauti ya kuimba shairi???😂😂😂😂
2025-10-01 14:55:49
13
️ :
2025-10-01 15:02:01
13
gemin girl🥰 :
fany Kam una nipigia Alf Anza kuimba shair😂😂
2025-10-01 18:57:23
11
🦋Mamuu🦋Tana🦋 :
Acha nirudishe meno ndani yanashika ganzii🤗😂
2025-10-01 16:31:43
21
man marmoush :
mimi na mkewangu miaka mitano ya mwanzo ndo ilikua hivi ila kuanzia mwaka wa sita mpaka sasa tunajua wenyewe🤣🤣
2025-10-01 14:54:46
4
Mrs Mohd 🥰🌹 :
Mashaallah haya sasa nirudishe meno yangu ndani 😁
2025-10-01 10:48:54
209
son hd :
mashaallah hao ndio wenye wake wengine ss tuna gombania goli
2025-10-01 08:51:18
42
the mwinulla's :
wanyama wenzangu nyuma geuka tunakikao msituni ckhz mnachelewa sana 😩🥺 leo muwahi
2025-10-01 16:21:38
95
Gaza Tisa :
Mi nikiimbiwa ivi nampa mpaka figo acha moyo tu 😂🤣
2025-10-01 16:03:50
29
mkwizu tz :
Kuna watu wanaishi mm naishia kabisa
2025-10-01 21:21:29
3
muzdalfah💕 :
alivyoanza kuimba hadi vinyweleo vinasimama 😂😂😂
2025-10-01 09:18:58
306
Minaa Hamynice :
mbwana yesu asifiwe
2025-10-01 22:02:33
0
The Queen of Abayas :
yaani mume wangu mackiny mambo mazuri kama aya atayaona tiktok tu mpka nmemhurumia 🏃🏽♀️😂😂
2025-10-01 19:01:55
5
ki32vuyo :
kuna sisi wa chuga sasa ni vp nimeku remember mamtu🤣
2025-10-01 11:42:54
59
Hash_kijogolo :
mushapangana uko mupigiane simu ili tusikie shairi 😄💯
2025-10-01 21:07:15
2
To see more videos from user @fumau_bin_mjeje, please go to the Tikwm
homepage.