Ila achaneni na yote SHE IS GOOD STORY TELLER Yan anakufanya uone kama mlikuwa wote 🥰
2025-10-01 15:51:59
381
mzanda :
SMG uwez piga kwa mkon mmoja bhn uongo uo uong🤣😂😂🤣
2025-10-01 12:47:31
21
OG smile 😁 :
aaaaah kaka huyooo SMG ni copy ya AKM hiyoo ni yakichina SMG 56 ko akisema SMG nikifupi Cha sub machine gun sawa ko usipinge kama hujui😂😂😂
2025-10-01 14:44:08
24
𝐢𝐧𝐜𝐡𝐀𝐫𝐠𝐞 :
Hii Podcast ni nzuri ila sipendi huyu jamaa anavyopiga makelele kama yupo kirabu cha pombe za kienyeji 😏
2025-10-02 13:14:41
94
Josline :
Ameongea ukweli 💯 anajua and she’s very strongl 👏,
2025-10-01 22:22:36
8
JOSH BUSH MAN :
My favorite Game Ranger and tourism influencer! Much respect to you Paulin Mkama 🔥🔥🔥
2025-10-21 23:20:47
12
chusee :
hyo miba inaitwa please wait naijua 😂😂😂
2025-10-01 17:06:04
5
christianrobert244 :
we dada nikikudinya vizuri utaacha kusema uongo
na Jingine hakuna bunduki inaitwa smg ni sub machine gun
2025-10-01 14:05:29
9
user7782346947487 :
kama miwani inasumbua si unaivua tuu uwe comfortable
2025-10-01 11:24:44
39
vikram :
story mzur ila silaha ya SMG cjawahi kuiyona 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-10-01 20:39:29
6
Tanzania Nakupenda ❤️ 🇹🇿💪🏿 :
she is a very very experienced ranger and she studied well at mweka wildlife... please any one know her name for good reference 🫡
2025-10-06 23:19:48
6
innocent.kisanga :
Tafuteni mtangazaji professional awe host wa hii program. podcast nzuri, ila host ni mjinga anaharibu kila kitu anapiga makelele utafikir yupo kijiwe cha draft
2025-10-11 08:05:34
7
veecah♥️ :
mnanivuruga huku comment section wangine mnasema hamna silah ya sgm wangine huwez kuipiga kwa mkon mmoja 😂😂😂😂 ko hapa tuamin
2025-10-01 17:51:57
5
Roja mandevu :
Sisi tulio ishi mapolini tunajua hambushi ya tembo anakimbia sana ukiona umemkimbia ujue siku yako ya kufa bado
2025-10-01 12:52:01
15
Siweeh cathle’s :
Asa kuchat una muelewesha raia ata elewa😂
2025-10-01 12:06:37
17
Fuego fuego :
samahani huyu anaye ongea ni wakike wakiume
2025-10-01 13:06:05
5
kimjoe :
Atawajua ambao hawajapitia JKT.Ndio wasiojua SMG
2025-10-02 05:49:55
11
Mtu makini :
Anaongea vizuri
2025-10-01 12:35:22
11
mzanda :
unafungua usalama had mwisho unakoki unawasha moto Sub Machine Gun (SMG)🤣
2025-10-01 12:45:30
6
josan😍🥰 :
Nmefrahi tu kumsikia alikua kabeba SMG...I like that gun👊
2025-10-01 12:19:54
7
W&F business online :
ndiomana tembo malayaaa😂😂😂😂anaongozwa na mmama
2025-10-01 12:34:16
5
J.Goldberg :
SMG square??😭🙏
2025-10-02 18:52:11
12
jacksonjr10 :
kwamba we ulikua unakimbia na kupiga live ammunition 😅😅😅 nchi ngum ulishik mkono1 machine gun dah hyo umewachukua bhana😅😅😅
2025-10-02 05:38:29
1
𝕊𝕚𝕡𝕚𝕝𝕦-𝕛𝕣8 :
Mti wait a bit(Mlomba ng’uli) huo mti wagogo wanaujua😂
2025-10-13 07:28:58
0
big shaq :
kwa hiyo mama harmonaiz almuweka tumbon miez 22
2025-10-03 20:44:36
2
To see more videos from user @iroc.tv, please go to the Tikwm
homepage.