@jiga_furniture.tz: kabati Kwaajili ya jikoni , jiko plate2 na sehemu ya vyombo BEI/Price TSH 650,000/= #kitchen #kitchenorganization #kitchencabinets #fyp #tiktoktz๐น๐ฟ
jiga_quality_furniture.๐น๐ฟ
Region: TZ
Wednesday 01 October 2025 12:30:15 GMT
Music
Download
Comments
Arlane :
Sasa mvuke wa chakula hauwezi kuaribu mbao ya juu apo
2025-10-02 15:09:34
100
The Healer :
Huyu engineer wa hili kabati apigwe viboko, hapo juu hio mbao yote inaoza na mvuke, ndan ya mwez mmoja tu
2025-10-04 11:02:43
14
MissmayaTZ :
Boss nahitaji iyo plz
2025-10-03 10:58:04
2
@hfjhj374 ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐ด๐ฒ :
Na mzigo munaleta ndio mtu analipa au unalipa pesa kwanza ndio unaletewa mzigo wako hebu niambie nijuwe
2025-10-03 19:57:50
2
jayla :
punguzo boss
2025-10-04 08:02:28
4
Mgalatia truck ๐๐น๐ฟ๐ฟ๐ฒ๐จ๐ฉ :
Nina kabati ya vyombo milango miwili jipya sijatumia nikupe nikuongezee shingap unipe ilo
2025-10-03 06:14:33
2
baby anna๐ :
mnapatikan wap
2025-10-02 11:59:31
2
pieces ๐งฉ :
mim ntaweka nguo vyombo Kila kitu hapo๐คฃ๐คฃ
2025-10-07 12:48:35
3
Nyakato :
location
2025-10-03 10:15:30
1
SAIMILA AUTO TRANSMISSION :
Beigani
2025-10-03 17:06:55
2
sheilagidion92 :
Mvuke hauwez kuharibu hapo juu!??
2025-10-02 09:16:56
5
chonge hinna & Makeup :
namba zok plz???
2025-10-04 09:20:43
1
aikaomanbeauty58 :
Big no koz ilo kabati wiki tu alitamaniki alafu mbao hatari
2025-10-04 10:06:40
2
ZunguMendez :
Mtakuja choma nyumba shauri zenu๐คฃ
2025-10-27 21:44:55
2
stellangatunga :
bei gani
2025-10-03 14:18:23
3
mwajumamohammedi :
bei
2025-10-09 17:37:13
1
Little tunda๐ฆ :
uko wapii
2025-10-10 14:30:18
1
aMOon@ูกูขูฃ :
ุจูู
2025-10-03 09:58:46
2
shuu mamy :
duuuh
2025-10-03 05:23:30
2
Thrift by sheeโฅ๏ธ25766288 :
hio nayo kupikia hapo noo
2025-10-02 18:38:47
2
Scoobyx7 :
siyo sahihi kwa hilo jiko kukaa hapo
2025-10-02 20:26:21
2
mima :
Bei gani kabati ilo
2025-10-03 14:20:18
3
HYDRO_Dipping๐โ๏ธ :
matokeo yake unaunguza nyumba ya watu wanakulipish ๐ฅบ๐ฅบ
2025-10-04 12:23:54
2
Cf Kelvin :
bei
2025-10-09 11:48:07
1
simba jike๐ฆ :
namoshi wajiko unaenda๐?
2025-10-02 16:44:04
2
To see more videos from user @jiga_furniture.tz, please go to the Tikwm
homepage.
ยฉ 2021-2026 TikWM. All rights reserved.