wa roli wote wa wili ni wajinga walikua wanaitengeneza ajal kwa makusudi.. roli la mbele limezuia asiovatek afu io pulling ya nyuma imekuja kumbana ili asirudi upande wa pili.... sasa wanataka mwenzao aende wapi
2025-10-02 04:53:00
24
kipara sio busara :
Hapo ukifuatilia wa basi ni kama aliwapelekea
2025-10-02 22:26:36
0
@Officialmissingi :
madereva wa mabasi wote n makuma mweny anabisha aje nahoja
2025-10-02 02:30:05
40
Chintu Singha :
Sasa mwenye kosa ni mwenye basi sema hata ninyi hamjui shelia wa roli yupo sehem sahihi
2025-10-02 04:38:01
15
Mr_Kilti :
Wengi hawajui sheria wanakimbilia kutukana dereva wa Bus. Hao madereva wa roli wote wawili ni wapumbavu ilitakiwa wakawekwe ndani na kufungiwa leseni. Siku zote mtu akishakaa kulia kwa maana ana kuovertake iwe anafata sheria au anavunja sheria unatakiwa umpe kipaumbele sababu wew sio traffic na hujui kwann kaka kulia labda ana brake failure. Ko wote wawili wanatakiwa wafungiwe leseni. Mstari unaruhusu Dereva wa bus ameona anaweza kwenda ilipaswa apewe nafasi sasa roli zinamzuia bus kupita hiyo ni Kosa kubwa sanah barabarani.
2025-10-02 22:00:23
1
Gery 💬 86 :
Na wa bus Kwann akiona hivyo asiache tu Lori liende atapungukiwa nn
2025-10-02 06:58:07
14
Sayuki Sheshushi :
Ukiangalia kwa majini Driver wa Bus kuna jambo kawafanyia haiwezekani Lorry zote mbili kampuni tofauti wambanie mwenye Bus na hawa wachunguzwe wote
2025-10-02 03:42:22
9
BÏG :
Nyie ongeen kwa mbali mkifika kwenye spika mna letewa michezo Kama mwenzenu wa Abood🤣😁😁
2025-10-02 21:03:21
0
mudy mkwizu :
hio bc ingekua inauwezo wa kuovatek angemaliza sasa uwezo wa kumaliza hana na anaovateki c angekaa nyuma na nyie mukisema bac amepakia watu kwani wa
2025-10-02 20:08:16
0
lizzy :
muwe mnatupa feedback ilikuwaje baada ya kufika central
2025-10-02 08:55:11
3
mkenyavinny23 :
Lazima ao wanao lecodi nao ni dereva wa bus kiufupi tu watu wa bus wanaendesha lafu ndio mana gar zote mbili zime mkazia😏
2025-10-02 04:19:48
13
Sansiro one :
kosa la dereva wa basi ni lipi hapo wakati mwenye lori kazingua.
2025-10-02 10:06:58
1
sala sala :
uyo dereva wa GSM ana akili uy
2025-10-02 07:48:07
6
makhirikhiri stan :
kwani mwenye lori angemuacha akaenda zake angepungukiwa nini
2025-10-02 06:14:19
5
Mark Shari :
huyo wa lori mbele kwann akae katikat wakat gar halina uwezo, anazuia watu wengine, ndio maana madereva lazma waende shule, ukenge huo anafanya,
2025-10-02 17:27:40
0
William Loserian :
🙏🙏Hii ni kweli sasa niulize mwenye makosa Lori la mbele au Lori la nyuma au basi kuovertake mda mrefuu
2025-10-01 22:07:51
3
Martha :
Eti unampogia Abas Mlandizi huna akili mwenyemakosa hapo nindereva wa bus ambaye hajitambui umebena watu hutumii akili na mstari umemkataza huyo dereva wa bus pumbavu kabisa nyie
2025-10-02 04:53:36
1
Sayuni a.k.a Mlala Hoi :
SASA mbona hawampishii ndoo dawaa
2025-10-02 17:50:41
2
kotto :
madereva wa mabasi wasenge sana
2025-10-02 03:35:39
1
francisrikanga :
huyu dereee wa GSM ni fala kabisa anyanganywe hata leseni
2025-10-01 22:21:19
8
Ice Prince :
usimpigie abasi
2025-10-02 05:32:53
1
August jra :
Alaf hawa wa Bus ni kama vile wanafunzi waliokua wanapenda kukaa mbele darasani na akili hawana😂😂. Kama mna haraka piteni juu basi
2025-10-02 18:57:55
5
user7782346947487 :
ukiona hvo uju kuna sehemu dereva wa basi alizingua ndo maana jamaaa wakaamua kumkazia pia huyo dereva wa basi baada ya kuona hali hiii kwa nn asingepunguza mwendo na kurudi kukaa nyuma ili aanze upya nae akaamua kukomaa
2025-10-02 05:20:06
3
officialchude🎤 :
daaah hapo mwanetu WA roli kazingua😭
2025-10-02 11:07:49
1
To see more videos from user @salvadorarsenal, please go to the Tikwm
homepage.