@alwatan_tz: Serikali ya Eritrea Jana imepitisha rasmi sheria mpya ya kuoa Wanawake watatu kwa lazima ili kukabiliana na wimbi la uhaba wa Wanaume nchini humo. Serikali ya Eritrea imeahidi kutoa ruzuku ya pesa kila mwezi kwa atakaeongeza mke wa tatu. Eritrea ina Wanaume wachache huku idadi ya wanawake Ni wengi. NANI TWENDE ELITREA #Tanzania #daressalaam #viraltiktok #fypシ゚viral
ALWATAN_TZ
Region: TZ
Wednesday 01 October 2025 19:15:54 GMT
Music
Download
Comments
Baraka Daniel :
Hii ndio nchi ya ahadi sasa 😂
2025-10-02 09:47:20
40
yaquba sogne :
Ubalozi Wa eritrea Unapatikana Wapi Tanzania
2025-10-02 14:17:16
7
Vagrx :
I'm stranded at the airport guys 😭 which air line flies directly to Eritrea 🇪🇷 🤔
2025-10-02 17:44:45
1
Falaja Amani :
kuliko mumewangu aoe mke wa pili nitakufanae siku iyo Tena tukicheka
2025-10-02 12:33:16
1
Atwemela :
mniulizie huko, kuna nafasi ya wageni?😢😢 tafadhali mniletee majibu
2025-10-02 10:22:33
10
mush masawe :
twenden zetu tuachane na hawa akina mwajuma
2025-10-02 09:55:40
12
khalfan Rubeya :
yaani hilo mama Samia Angelina hilo yaani angepita bila kupingwa
2025-10-02 11:26:56
5
abou faysal salim :
mimi wanipe wanne nije nao bongo na ruzuku yao wabaki nayo
2025-10-02 09:58:10
3
BEE 💎🇰🇪🇲🇼 Mwappy :
ficheni wanaume WA Kenya wasiende,watachona
2025-10-02 17:52:16
1
denyo990 :
uko n Canani mpya 😁
2025-10-02 10:51:20
2
IamYahya :
Kuna wanawake jamaniii😁😁😁😁 sio wanawake tu ni wazuriiiiii na unakuta kitu kina magandaaaaa😂😂😅😅😅
2025-10-02 17:06:03
1
Abdul kareem 🇹🇿🇹🇿 :
😂😂😂😂vizur sana
2025-10-02 11:11:32
4
Passcode :
Pleas mwenye kujua nauli kutoka hapa tz mpaka eritrea ni shingap huko kwengine nita jua mwenyew pakufikia
2025-10-02 11:00:03
0
habibmwinyibakara :
Uraia Eritria unaupataje mazeeee 😂😂😂
2025-10-02 14:09:42
2
Denis :
uje na tz ss 😂😂😂
2025-10-02 11:36:03
0
Saiboy :
waje wanichukue huku me hata watano fresh 😅😅
2025-10-02 11:28:13
0
abdallaah :
twendeni tukaujaze ulimwemgu 🤣🤣🤣🤣
2025-10-02 12:25:13
4
bin chande :
weeeee ngoja nimpigie baloz
2025-10-02 11:36:33
0
Ian benz :
Nko njiani sai naelekea Eritrea 😂
2025-10-02 16:34:25
1
Mr mbega :
ah baaaasiiii
2025-10-02 09:37:59
2
sajuki :
nahamia huko jamn naombeni mnipokee2😂😂
2025-10-02 12:36:53
1
Thedy Boy677 :
daaahhh nahamia huko wanangu me mapem tu mniandalie wake zangu
2025-10-02 12:17:02
1
bb33 :
nahamia huko
2025-10-02 09:49:48
1
Joseph Andrew :
oya wabongo zali ilihapa nan tuongozane
2025-10-02 07:09:17
2
Suleiman sadru :
wanawake wa kondoa jiandae nakalibia Kuja huko kutembea 🤣
2025-10-02 07:42:20
1
To see more videos from user @alwatan_tz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.