@doit.15: Miếng dán mụn Focalskin #focalskin #miengdanmun #miengdanmunfocalskin #danmuntanghinh #doit11

khanhminhreview
khanhminhreview
Open In TikTok:
Region: VN
Thursday 02 October 2025 04:37:12 GMT
5510
13
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @doit.15, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

MSAKO MKALI DHIDI YA WEZI WA MCHANGA NA VIFUSI ZANZIBAR.... Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar, Mhe. Nadir Abdul-Latif Al-Wardy, amesema bado kuna changamoto ya wizi wa mchanga na vifusi katika maeneo yaliyotengwa rasmi kwa ajili ya uchimbaji, hali inayosababisha Serikali kukosa mapato na kuvuruga usimamizi wa rasilimali hizo. Mhe. Nadir ametoa kauli hiyo leo, Julai 31, 2026, wakati akifungua kikao cha pamoja kilichowakutanisha makamishna wa vyombo vya ulinzi na usalama, wakuu wa mikoa ya Unguja na Pemba, viongozi wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Zanzibar (ZAECA), pamoja na maafisa wa Wizara ya Maji, Nishati na Madini. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa ZURA, Maisara, Zanzibar. Amesema Serikali haitavumilia vitendo vya wizi wa mchanga na vifusi vinavyofanywa na baadhi ya watu wasiofuata sheria, na amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya wote wanaojihusisha na vitendo hivyo. Aidha, amewataka wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kuimarisha ushirikiano na maafisa wa Serikali pamoja na wananchi ili kudhibiti kikamilifu shughuli haramu zinazofanyika katika maeneo ya uchimbaji wa mchanga na vifusi. Kwa upande wao, wakuu wa mikoa waliohudhuria kikao hicho wameahidi kuendelea kushirikiana kwa karibu na vikosi vya ulinzi na usalama ili kuhakikisha tatizo hilo linadhibitiwa kwa haraka, huku wakisisitiza kuwa hatua hizo zitasaidia Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuendelea kukusanya mapato yake kwa mujibu wa sheria. Viongozi hao pia wamewataka wafanyabiashara na madereva wa magari yanayosafirisha mchanga na vifusi kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa na mamlaka husika, wakionya kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya yeyote atakayebainika kukiuka sheria hizo. Akizungumza kwa niaba ya vyombo vya ulinzi na usalama, Kamishna wa Kikosi cha KMKM, Komodoro Adhan Hassan Msingiri, amesema vikosi vyote vimejipanga kuhakikisha vinatokomeza vitendo vya uchimbaji na usafirishaji haramu wa mchanga na vifusi kwa muda mfupi. #FYP #fypシ #fypシ゚viral #fyppppppppppppppppppppppp #fypage #fypシ゚

About