sio kweli... yategemea na roho ya mtu ikoje. acha kugandamiza wanawke.
2025-10-03 06:33:23
3
KHAMISI NGAZI@254 :
SIO KILA MWANAUME UNAEMSAIDIA ATAKUKUMBUKA WENGINE ATA AFADHALI HUYO MWANAMKE BUT INATEGEMEA UNASAIDIA VIPI MAANA KUNA KUSAIDIA NA KUHUDUMIA🤣
2025-10-03 18:48:08
0
nganganga :
dah kweli
2025-10-03 19:39:12
0
salumnassor210 :
mwanamke alivyoumbwa ukimsaidia anahisi ni haki yake kumsaidia ila mwanaume ni bahati kwake
2025-10-02 18:58:46
11
Newlandphonestore :
hii nayo sikuhizi haina maana jisaidie mwenyewe
2025-10-02 07:37:18
6
mfipa wa Rukwa :
sasa nikimsaidia mwanaume ktk matatz yake akinikumbuka maisha yake yote mm ntakuwa nmefaidika nn ?
2025-10-02 19:11:23
2
willyjambo75 :
hakika, na siku zote mwanamke hudhani kuwa msaada ni haki yake lakini mwanaume anajua kabisa msaada ni bahati kwake.
2025-10-03 12:26:36
1
AliDaiz :
😂😂😂akili mtuwangu
2025-10-03 19:19:51
0
mr-shilangi :
fact
2025-10-02 08:48:17
15
Weak Hero :
sema kuna wajinga wanahis msaada n haki yao🤦🤦
2025-10-03 08:05:31
2
BAADRU__ :
Tumia,Akili
2025-10-03 05:36:21
1
Gosbert Method :
akika
2025-10-03 17:37:53
0
silvajrr680 :
mjomba so kweli kuna wanaume hata uwasaidie hawakumbuki yaani wanakukandamiza hata kwa kitu cha kupuuza
2025-10-03 12:44:58
0
naima :
niuonga huo wanawake wanakumbika sana tena sana ila wanaume ukiwasaidi utasikia huyo sio mke mwema ngoja nikutafute mke mzuri wewe ulikuwa msaada hufai ndio maana wanawake wamebadilika sana wamechoka kutapeliwa na wanaume
2025-10-03 06:11:07
2
Gilo Daniel :
kweli
2025-10-03 12:48:03
0
Nick :
mwanamke hapana labda mama yako
2025-10-03 07:33:53
1
BABU +255793583304 :
kweri
2025-10-03 17:45:00
0
fadhili lazima :
a mini kaka Nikweli kabisa
2025-10-03 14:20:36
0
Hawah Said :
si kweli me hata kidogo ndo kwanza munakua madui
2025-10-03 06:17:54
0
Na3man Islam Bassadiq :
Yategemea ni mwanamume gani, kuna wengine hawana ihsan hata kidogo. Lazma ujue kuchagua watu unaojihusisha nao
2025-10-03 03:03:38
2
Mick 24 :
Kweli kabisa
2025-10-02 21:20:36
1
official imma :
fact
2025-10-02 18:43:07
1
Silver@% :
lakin siumetomba
2025-10-02 18:00:48
1
zamay :
siyo kweli
2025-10-02 10:28:04
0
To see more videos from user @tumiaakilii, please go to the Tikwm
homepage.