Hakuna uchungu mkubwa kama kumpenda mtu ambaye hakupendi. Unajitoa kwa moyo wote, lakini yeye haoni wala kuthamini. Ni maumivu ya kimya ambayo huumiza sana.
2025-10-05 08:13:11
11
Its- teeh◇_❤️🦋 :
mtu wa mashart nae mugumu jmni😂😂😂
2025-10-02 13:53:03
14
captain Rucho :
tulioview pich zake zote tukaee wap jmn🤣🤣🤣
2025-10-04 18:40:39
20
r queent :
mtu wa mashart nae simuwezi😂mi.nakupa heshima.mengine usinitwike siwezi😂😂😩
2025-10-03 19:47:36
0
T.O.MasingisaJr :
boyfriend asikunyime mume😂
2025-10-04 15:40:12
2
ibrah :
ukiongea maneno yaambatane na pesa ata kwenye vikao wanasikilizwaga wenye pesa🤣🤣
2025-10-04 11:13:57
0
sumanali :
😂😂😂Ko ni upost tu visogo 😂😂😂
2025-10-02 12:58:57
5
little junior :
😂😂 Haya si atutaki sura lakini 😁
2025-10-05 17:50:53
1
🫧Miss reenie🦋💕 :
Bora yako una wa kukukataza😂😔
2025-10-02 19:27:51
9
Amimaa :
Sawa sio kwa ubaya lakini Nasrah kwani huyo mwamedi wako kashakuo tayari maana anamasharti kama shule ya boarding?😂
2025-10-05 10:16:41
1
𝐧𝐚𝐬𝐦𝐢𝐞💞 :
Umependeza jamn👌
2025-10-05 05:48:04
1
fake is everywhere🫴☺️ :
ahaaaa meenda kuitafut sura yak kwa post😂zako
2025-10-03 11:30:08
6
Mom%Naomi❤ :
Ningekua msikivu kama Nasra ningedumu ila nikajifanya kichwa ududu😂😂
2025-10-05 09:35:44
0
Katarina # Haya girl 🥰 :
kama anatambulika ukweni na wakwezake wamekula maali yake ntafanya ila sio vinginevyo😏
2025-10-03 12:08:43
1
Jawaan Akele Ban Haroun :
😂😂😂😂😂😂NIMEMUELEWA HUYO MWAMBA AISEE HONGERA KWAKE
2025-10-05 18:13:28
1
manjala esther :
Nasrah inabid uwe muelewaaa jmn 😂😂
2025-10-04 10:50:25
4
🐻🅼︎🆁︎ 🆂︎🅼︎🅸︎🅻︎🅴︎🧸 :
mbn mm nlimwambia Ivo na tukaachana for good mwanamke mpe Uhuru ili aogope maana ukimbana ni kama mtoto na maji ukimnyima ataangaika na ndoo ya maji au bomba had atie mkono ila ukimuacha antafuta kile unachomnyima ndo ankitaka yeye bye bhn nyie pendaneni Tu Mimi mbioo kwenye kucheza 🎮
2025-10-05 06:36:45
2
yasco guide zanzibar :
Au mm nd uyo boy wko 🤣🤣
2025-10-05 07:06:38
1
jamary :
natka mwanmke kam wew 🥰
2025-10-04 17:19:01
0
kaylah mkumbo99 :
na hapo halijakuoa😅
2025-10-04 19:31:37
0
moonchild🌚🌸🍃 :
Nipate wa kunikataza labda na mimi ntatulia🥺
2025-10-05 08:47:18
1
IT'S FAAH💜🖤🌸✨️ :
na yeye kweli katuonyesha chogo lake msichana mjinga kma rais wake🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-10-04 07:07:33
2
muh ✨ :
classmate
2025-10-03 17:30:21
2
Charmie gall :
maongez bila ya kituu kwann unaongeaa 😂😂 emuu nyamazaa ww
2025-10-04 11:07:00
1
🦋🦋 :
safi🥰🥰🥰wakak wote wangekua tuuh kam huyu😂😂
2025-10-05 18:13:50
1
To see more videos from user @itsnaah10, please go to the Tikwm
homepage.