@ikram_poppe: #thisissimba #tiktoktanzania🇹🇿

Ikram
Ikram
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 02 October 2025 10:25:46 GMT
1479995
74161
1312
2347

Music

Download

Comments

lukafuba_jr
Lukafuba Jr :
uongo mbaya niseme tu ukweli, nitafurahi kama hawa jamaa wakianzisha kale katabia ka Mamelords kuwa wanaimba kwa nguvu wakati wanaingia uwanjani au wakiwa vyumba vya kubadili nguo, like vibe nalielewa😂
2025-10-02 12:36:22
518
ennysabby55
Amina :
rushane anamwili mzr😳
2025-10-02 12:25:03
317
berthalmanyanda
@bertha simba🦁💥 :
MOYO TULIA NASIKIA HAWAJUI KISWAHILI😳😭😭😂
2025-10-02 16:32:18
85
khalydhms1
khalydhms1 :
sijui nihamie simba mbona kumeanza kuchangamka mapema bila kocha
2025-10-02 14:58:18
157
mseven67
d boy tz one 🇹🇿👑👑 :
rushine de reuck 🦁🦁❤️🤍
2025-10-02 15:53:07
99
baraka67894
B.boy :
Siku mkifungwa tutairudia hii clip tenaaaa😂
2025-10-02 12:45:44
40
user20499730409744
Leasher :
jaman si yulikubaliana maema mnaniachia au bado kunamtu anabishi🤣🤣🤣
2025-10-02 12:20:13
64
haikadickson845
Haika Dickson :
Na kucheza anajua kumbe niwachieni nimemuwai
2025-10-02 11:09:21
94
goguryeob
Goguryeo💯 :
natafuta comment ya mke wangu qmmke
2025-10-02 15:37:10
72
lizzypualmushi
💞lizzy💃 :
simba sio kufunga tu raha mpaka wachezaji wanatupa burudani
2025-10-02 11:25:07
36
mwana.lujaina
mwana rujainah🥰 :
walio angalia zaidi ya mara 3 kwa furaha tujuane
2025-10-02 15:59:36
6
user4339851174393
tina :
uyama mwingi
2025-10-02 15:42:11
5
deluxey_hammie
Hammie ❤️ :
wabongo hvy ndo amapiano zinavyochezwa co virugu mpk majasho😅😅😅
2025-10-03 20:58:04
7
miss_clarmy15
miss_cash_baby🔏 :
wanasimba gonga like apa❤
2025-10-03 06:19:19
5
miraji.hb
QuitxHunter :
amuwezi kucheza ivo alafu nikunyime like
2025-10-02 19:15:30
5
stellaaron958
Stella Aron :
20/20kujeni
2025-10-02 12:25:05
6
aminataally159
aminataally159 :
huyu rushayne atavunja ndoa za watu jamani kaka lizuri hili😋😋
2025-10-03 12:29:50
5
23deenah23
Dina tz🇹🇿 :
simbaaaaaa
2025-10-03 12:53:27
5
iam_hiby
Habiba🦋 :
Mpira wanajua ,sura wanazo ,jamani si kutiana majaribuni huku😂😂
2025-10-02 12:36:38
6
mrs.flower804
ARAS💕🌹🌹 :
simba nguv moja
2025-10-02 12:20:57
16
elice695_og
elice695_og :
Wanasimba wazangu hamtaki kweli hiyo mbegu ibaki tz fanyeni mambo 🥰
2025-10-02 13:13:32
15
hb_mussa_oficia_01
HB_MUSSA_official :
MUTALE MUTALE NAKUITA MALA 7 WW NDO UNAWAHARIBU AWA😂😂😂😂
2025-10-02 18:33:00
5
user8284685276088
GIFT MP✋💗 :
mmejuaje kama nyie ndo roho yangu yasimba mnanipa raha jamn waooh Simba nguvu Moja 💪💪💪💪💪💪💪❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
2025-10-02 15:44:07
6
jr..boy8
Jr. boy :
jaman mni follow me
2025-10-02 12:39:39
5
user7401529012557
japhetivicent :
nguvu moja
2025-10-02 12:20:59
8
To see more videos from user @ikram_poppe, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About