@freetaxguidetz: 💥ULINUNUA GARI KWA MTU, HUJABADILISHA UMILIKI? . .#zanzibar🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniatiktok🇹🇿 #tanzaniatiktok #biashara

FREE TAX GUIDE TZ🇹🇿
FREE TAX GUIDE TZ🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 02 October 2025 11:21:58 GMT
158885
3599
108
1273

Music

Download

Comments

salim_junior_255
sulley_official :
yani ninavyosikiliza kama ela ya kununua gari nnayo vile🤣🤣🤣
2025-10-02 18:41:31
19
uday15157
udaymahir :
mimi nimenunuaa na jamaa sijui kaendaga wap mpaka leo sinaga mawasiliano naye itakuwajeee
2025-10-02 19:46:59
1
savage.tugrul
BRAIDEN_99 :
vip kuhusu zile gar la mwaka 2025 alafu namba A inakuaje hiyo
2025-10-03 08:12:05
5
user1393398854965
user1393398854965 :
vipi kuhusu pikipiki namba T unaibadirishaje?
2025-10-09 08:13:14
2
dulla606
@dulla606 :
Mkiweka masharti mengi matokeo yake watu hawabadilishi wanakaa nayo hivyohivyo
2025-10-03 09:19:42
2
wooka563
wooka :
akishabadilisha umiliki ukawa wangu, je, ile kadi jina nabadilisha au inakua haina haja?
2025-10-18 19:27:15
1
duado_05
duado :
tra wana utaratibu wa kumpigia mwenye gari
2025-10-06 16:20:35
2
twalibumagassa
twalibumagassa :
je ikitokea aliyekuwa mmiliki wa gari alisha fariki umeuziwa na na ndugu pamoja na mke wa marehemu je utaratibu wake ukoje ili gari inisome mm nilie nunua
2025-10-11 23:34:31
1
jopalii5
JOPALII :
je naweza kubadilisha jina la gari nililo nunua muda mrefu bila kubadilisha jina ikiwa nina tin namba ila sina nida wala leceni??
2025-10-06 22:24:20
1
enetiago
MUUZA VIWANJA CHANIKA :
BWANA MSITUTISHE GARI NIME NATUMIA HUU MWAKA WA 5 NA ALIE NIUZIA SIJUI ALIPO NA IKITOKEA LOLOTE NTAPAMBANA NALO MPAKA MWISHO MABADILIKO YANAKUJA TARATIBU SIO KWA ALAKA IVYOO KAMA MNAVYO TAKA NYINYI
2025-10-03 11:57:01
2
moola601
#moolah :
kwani mwizi awezi kufanya ivo
2025-10-04 13:07:17
1
tumainikone
Tumain Kone :
mpaka Sasa sijafanikiwa kubadilisha maana aliyeniuzia ananipiga tarehe
2025-10-08 10:57:44
1
omar.omar47305
Omar omar :
nini chakufanya ili nimjuwe mmiliki
2025-10-02 16:51:52
3
abu.huda05
Abu Huda :
kwann huwajibu maswali waloouliza
2025-10-03 04:20:39
1
hillary.urassa
Hillary Urassa :
kama nimekufa
2025-10-03 18:32:13
1
user6736093130197
user6736093130197 :
kwa dizaini hii mtanyan'ganya magari mengi sana maana kabra ya hapo tumekuwa tukiuziana ivo ivo
2025-10-02 16:57:50
3
good__girl2202
🫦golden girl🫦 :
hayo mambo yenu mengi bana
2025-10-03 13:02:36
2
doing969
KASONGO Thug life :
Nilikuwa na pikipiki ya mkataba nimemakiza inakuwaje kadi inasoma majina yake
2025-12-27 14:43:54
1
wilsongisbert
Wilson. :
kama ni dalali ananunua na Bado anauzatena inafaa ufanye nn
2025-12-05 13:39:57
1
hussenmishamo
Hussen the boss 🙏 :
nataka kujua namna yakuingia kwenye mfumo kujua vitu navyomiliki mm ?
2025-10-23 20:17:19
1
onezombiee
zombie one :
kama aliyeuza kafariki
2025-10-20 14:05:07
1
lyimolymo
lyimolymo :
Ni sahihi kabisa
2025-10-11 05:40:54
1
jacksonndoss
Jackson Mchagga :
Asante kwa hili somo kuna gari nilikua naenda kulipia kesho nimejua pa kuanzia
2025-10-02 19:20:43
1
jeyme072
Davood 🙏🙏 :
nakama ana tin
2025-10-02 16:08:44
1
lady_magari
lady_magari :
Wamiliki wenyewe na hawajui kuingia kwenye mfumo
2025-10-05 11:42:20
1
To see more videos from user @freetaxguidetz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About