Kweli kimara ni kaskazini kabisa cz ni wachaga wapare na waarusha 😂
2025-10-03 08:52:52
1
brother tony :
nani anapokea sadaka 🤣
2025-10-03 07:48:03
3
kiki🦋🦋 :
siku ukiona Hamnah foleni,unajiuliza nimekosea njia nn😂😂😂
2025-10-03 05:19:23
6
fyuter210 :
Ukimaliza simu yako unakuta imeenda na upako😂😂😂😂
2025-10-02 20:59:37
60
Mbwambo The Great :
kuendelea kuishi Tanzania bonyeza moja 😳
2025-10-03 05:53:17
13
assy :
ila kimara now days wanateseka aki
2025-10-03 08:56:06
0
Sighanka Gimacy :
Waislamu waliopo humo na wao wanaimba ama wanaishia kusonya tu 😂😂😂😂
2025-10-02 20:10:16
46
Charles Hittler :
kwenye mwendo kasi kumbe kuna jumuiya
2025-10-02 22:28:14
13
user68763119239 :
Edited hyo ya sauti😂😂😂😂😂
2025-10-02 21:25:30
0
@petty sity :
Nimenuona hapo shayo mwambieni arudi nyumban tunamtafuta🤣
2025-10-02 20:22:48
11
Kimario :
Hiyo ndiyo Jamhuri ya kimara😁😁😁
2025-10-02 20:18:37
13
️ :
kuna mchagga mmoja hapo inabidi arudi nyumbani 😂😂
2025-10-02 18:39:37
30
Che.llyqueen :
Akasema kubomoa mlango 75k
2025-10-03 06:03:08
2
official _mrs_shafiih.09 :
anaeimba amekaa mrango kabisa sasa kabanwa akaona bora aanzishe tenzi ya lango😂
2025-10-02 20:27:38
1
Jamescruising :
Liko lango moja Wazi,Ni lango la Mbinguni,
Na wote Waingiao Watapata nafasi.
Lango ndiye Yesu Bwana Wote Waingie Kwake,
Lango! LangoLa Mbinguni ni wazi.
2025-10-02 18:02:48
23
Lizzy Beth :
MUNGU NI MWEMA ❤ HUU WIMBO ANAUPENDA SANA MAMA YANGU🙏
2025-10-02 14:38:15
33
Tanzanite sanitary ware :
ingekuwa gari ya kwenda mbagala ingewekwa singeli moja kuichamba serikali
2025-10-03 07:41:31
5
Mzigaba :
kimara hakuna mbumbumbu wote wanajielewa
2025-10-02 16:56:25
7
segerematelephone :
safi sana na uinjilisti humo humo
2025-10-03 06:45:28
3
corner stone kennel :
kimara ni mpakani mwa Dar na Moshi
YESU na atukuzwe kila pahala
2025-10-03 07:36:12
3
milanga :
joka linijia, joka likajipanga, joka likachachamaa, joka like ayeee ye ye ye yeah in brother k voice mlilo hakukundua kama ni ufufuo na uzima wameandamana kudai kanisa lao. na pembeni kulikuwa na jesusi la mbiguni linaongoza tenzi likapita katikati yao likaondoka zake😂😂😂😂😂😂😂
2025-10-02 19:43:31
4
Nikas Kavishe :
wachaga wote hao,
2025-10-02 17:31:29
2
DORAH 😍😍😍 :
utukufu kwa mungu 🥰
2025-10-03 04:37:55
2
To see more videos from user @beckhachellah, please go to the Tikwm
homepage.