@kibogoyokibogoyo: Mtoko wa Octoba 29, hakikisha hukosi haya; 1. Bendera ya Taifa 3. Raba Nyepesi 3. Suruali Nyepesi 4. T-shirts Nyepesi 5. Simu 6. Chupa ya maji 7. Filimbi. 8. Mask Wale mtakaikuwa na uwezo wa kubeba vitu vya ziada kama Mask, Flag, Filimbi n.k bebeni nyingi kuwasaidia na wengine.