@mrishomaisha: Pesa huja na kuondoka, Uzuri hupotea na umri, Afya inazorota kadri umri unavyokwenda,Ulimwengu pamoja na utajiri wako wote ni Wa muda Yale yanayofanywa kwa ajili ya Allah pekee Ndiyo yanayodumu milele Basi simameni na matendo yenu mema. 📿🤲 cc @diamondplatnumz @mrisho_maisha #maishawasthare🤌🏻👳♀️ #mikonoDua #oman #fyppp