Nchi Ina mihimili 3, ambayo unaitwa BUNGE, MAHAMA, NA SERIKALI. (MIHIMILI MITATU YA DOLA,) Sawali la pili. Mswada ni SHERIA AMBAYO INAJADILIWA.
2025-10-03 04:14:50
16
shaphy :
kujibu mswada ndo kuleta mahendeleo katika jamii kinacho itajika ni akili yako yakuipambania jimbo lako
2025-10-03 12:10:35
0
Frey's :
Muandishi mwnyw kipotoshiii😂
2025-10-03 09:56:29
3
moxhizo :
alipe den la taifa baba levo
2025-10-03 13:10:06
0
Beny :
inchi yetu imekua shamba la bibi kila mutu analima😁
2025-10-03 05:12:43
3
KIGOMA UNITY :
kigoma tumepigwa pakubwa
2025-10-03 03:40:21
28
mb platinumz :
🤣🤣 jaman huyu amezoea kuwa chawa hayo mambo hawez kujua
2025-10-03 13:13:40
0
julito :
Asalaam alaykum Sheikh
sorry ndugu yangu wewe sio mtu mzuri
Sheikh acha fitna na roho mbaya
wakati wa Azim premji na Dr walid about mbona Azim alikuwa hana elimu alakini aligombea Sheikh acha roho mbaya
2025-10-02 23:39:49
1
Phesto-------kunyumba :
Acha upumbav hilo sio swali
2025-10-03 05:21:55
0
Chazya :
kwani weye unauhakika kila swali ukiulizwa waweza jibu? ebu tuliza fuvu lako
2025-10-03 09:13:12
0
samsoni mkali :
aibu sana hiii
2025-10-03 05:47:54
8
Monyo :
hao wanaojuwa wametupeleka wapiii acha ujingaa
2025-10-03 01:57:18
7
bunju boy :
mbona ww baba ako alikufundisha kupiga nyeto acha ataenda kujifunza uko uko uwo wivu
2025-10-03 07:30:24
0
@4ICONE :
acha utumwa waakili kaka uongo nature ya mtu baba na babu zetu waliongozwa na machifu ambao hawakusoma elimu ya dalasani lakin waliongoza vizur hao wasomi wenu mbona wanategemea kuongoza nchi kwakuomba misaada na mikopo toka enzi za mwalim nyerere
2025-10-03 04:59:08
0
Isah bin De-neym :
Mwishoe ajibu Maana ya Muhimili
Ni Dunia kuzunguka kwenye mhimili wake🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-10-03 05:05:41
1
masteracity :
Mbona zitto ni msomi tena mwananuchumi mbobevu lakini ilo jimbo hajalifikisha popote😁😁😁