Sheet wangu Mimi Ni mtoto wa like lakini Sina Bahati ya kkupata mwanaume anarkali mapenzi yangu Kuna kijana Na mpenda lakini yeye hanipendi natumai vitu vyangu Sana kwa ajili yake naumia Shee naomba unisaidie nifanye nini?
2025-10-04 14:52:49
2
user81961930763181 :
MAY ALLAH GRANT YOU the rank ya sheikh ,helping us without payment. jazakallah ya sheikh 🤲❤🇸🇨🇸🇨🇸🇨
2025-10-03 07:43:55
1
re :
mola akujalie maish maref
2025-10-07 13:57:29
1
@Official.zaynab🦋✨ :
SINA CHAKUSEMA ZAIDI YA KUKUOMBEA KWA ALLAH AKUJAALIE AFYA NJEMA UZIDI KUTU SAIDIA TENA NA TENA.ISHAA ALLAH🙏🙏
2025-10-20 10:39:12
1
Hasina Zahoro :
S.A.W
2025-10-11 07:30:30
0
Mamu tañzañia :
@mashaallah
2025-10-15 20:57:32
0
Mawazo Mlondani :
🥰🥰
2025-10-13 11:08:30
0
nane8 :
nina miaka 27 changamoto yangu ni kushika ujauzito nisaidie
2025-10-12 22:31:50
0
🌹sãlmïzøøh🔑 :
assalam alaykum ostaz nikihitaji Dua unifanyie huko uliko nitakutumia sadaka inawezekana Yani nikuelezee yanayonisibu Kisha unifanyie dua
2025-10-12 06:41:44
0
uwase 250 :
💕
2025-10-11 17:41:11
0
samia :
nataka ndoa shehe
2025-10-11 10:50:30
0
Cute noble💖💖 :
shekhe nahitaji msaada wa dua jamani nakupataje
2025-10-19 08:16:47
0
Chifu :
nikaambiwa hatakama hauna maziwa mpe hivyo hivyo avute vute ikifika usiku huwa hanitaki nikimpa nyonyo ana nisukuma kwenye kifua kama vile na mtisha
2025-10-09 17:37:19
0
Chifu :
halafu cha Ajabu nikiwa na mimba maziwa yalikuwa yakimwagika nilipo zaa sina maziwa kabsa
2025-10-09 17:34:36
0
Chifu :
maalim hujambo nasema maalim mimi huwa nasumbuliwa na wasiwasi khan's halafu. niliwai kuzaa. lakini cha ajabu shehe after kuzaa siwezi geuza shingo yangu kumwangalia mtoto. nikillazimisha naumwa na kichwa kweli
2025-10-09 17:33:07
0
Rasuli Abdul :
Nina changamoto ya kukosa usingiz pia viungo vinaniuma sana mkiwepo mifupa
2025-10-08 14:45:02
0
KIUMBE :
A/alaikum sh naomba unisadie dawa au Dua ya mvuto wa biashara
2025-10-15 21:42:48
0
husseinhussein9357 :
gani kuondokakana na hali hii?
2025-10-08 14:13:18
0
Daudi Kassim :
Allah akulipe kila la kheri shekh
2025-10-26 20:57:36
0
pendo beby 🥰🥰🥰🙏 :
🤲🤲🤲🤲🤲
2025-10-30 08:56:40
0
CHOYO :
Sheikh mm naumw vtu ktmbea mwli mzma
2025-11-01 19:45:26
0
Abdisalam :
nilikopa wat pesa zangu hawatak kulilipa sas nifany dua gani sheikh
2025-11-11 16:35:59
0
Rukia Saidi :
NIOMBEE dua shehe nipate mume
2025-11-16 13:26:49
0
usermamu💞💞💞 :
shekh kunguru anapokuja kusimama kweny kichwa chako inamaana gan🤲
2025-11-24 09:55:41
0
To see more videos from user @sheikhshariffjangri, please go to the Tikwm
homepage.